Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Katika hali ya kuonyesha kuwa CCM imekomaa katika kufanya maamuzi, wamepongeza uteuzi wa Magufuli na kusema UKAWA wakae mguu sawa nao walete mgombea wao wasikalie kuvutana!miongoni mwa wasomi hao Ni Dr.Ayub Rioba, Prof.Mwesiga Baregu na Dr.Onesmo Kiauke!
Chanzo ITV
Chanzo ITV