Umeme ni neno kubwa sana. Hapa lazima tuangalie vitu vitatu ambavyo ni Load (Resistance R) eg. Bulb hiyo uliosema, Voltage V na Current I. Kwahiyo mkuu kama ukiwasha switch ni kwamba Voltage V itafika mpaka point of connection ya bulb lakini current I haiwezi kuwepo. Na Voltage itafika ileile ya supply let say 240Vac kwakuwa voltage in parallel is equal. Nakumbuka kuwa voltage hapa ni kama force ya kusukuma electrical charge ambayo ni current panapokuwa na Resistance R.
Kwakifupi
1. Umeme (voltage) utafika mpaka point of connection
2. Current haitakuwepo kwakuwa hakuna load (bulb)
3. Mita yako haitatembea kwakuwa no current drawn.
Kama una swali lingine la umeme uliza usiogope!!