Kwa bahati mbaya umeme utakwenda hata kama bulb haipo; najua watu wengi hawataamini jibu hili ila ndivyo ilivyo. Umeme tunaotumia majumbani na viwandani duniani kote ni wa aina ya AC, ambayo kwa Tanzania inakuwa na frequency yenye mizunguko hamsini kwa sekunde; umeme huu hupita mahali popte iwapo utaweka mradi tu uwe na nyaye mbili kwa karibu zinazokamilisha mzunguko hata kama hazikuuungana, yaani bulb haipo. Nyaya hizo hufanya kitu kiachoitwa capacitance ambayo hukamilisha circuit ya AC. Uzuri ni kuwa umeme huo huenda kwa kasi ndogo ambayo haitaweza kuathiri sana bili yako ya mwezi, ila ukiuacha kwa muda mrefu sana kama mwaka mzima utakuta bili nayo imepanda kwa kiasi fulani.
Swali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.
Umeme hautoenda mkuu.Maana ili umeme uende inabidi uwe converted to a new form.Incase ya light bulb, energy conversion ni kutoka electricity kwenda light
kifupi hauendi au kwa lugha nzuri hautumiki. Ili umeme uende mpaka mwisho wa safari yake ni lazima uuone ukibadilika toka electricity kuwa energy mfano,light energy,sound energy,au energy zitumikazo kuzungusha mota za mashine.
Kama hauendi kama mlivyosema, jaribuni mtoe bulb, weka switch on then weka vidole pale ulipotoa bulb utajua vizuri kama unaenda au la, msisahau kuleta majibu
Kichuguu!
Nakukatalia, umeme hauendi hapo(hautumiki) kwamaana hiyo siyo complete circuit. Workload hamna hapo, kwahiyo hakuna movement yeyote ya curtent. Ni open circuit hiyo hata kama ni AC . Work is done when a force produce motion. Hakuna load, hakuna motion hapo.
Mkuu, hapa anazungumzia taa, na amini itakua ya kawaida inayotumia single phase. Voltage hapa tuna zungumzia 230v. Sioni possibility ya ku form capacitor au inductor kwa hiyo voltage kidogo. Ingekua 11 kv,33kv ingekua sawa.kwa kesi ya hii hakutakua na umeme utaotumika. No load.for current to flow there must be a load. Na kwa kesi hiyo load ni taa.hakuna taa hakuna umeme
umenichanganya.
Kinachodondoka ni maji tu?sio maji hayo!
Haya wee Mkenya tupe basi jibu.wajinga bado wengi Tanzania.
Nilitegemea response ya namna hii; je, hujui kuwa capacitor nayo ni open circuit kwa DC lakini ni reactive load kwenye AC?
Yaani chochote utakachokiweka na kikasababisha current kutoka Live ikampata Neutral lazima umeme utatembeaKama hauendi kama mlivyosema, jaribuni mtoe bulb, weka switch on then weka vidole pale ulipotoa bulb utajua vizuri kama unaenda au la, msisahau kuleta majibu
Sio maji tu, bali pia kuna maembe, matunda yote, mawe, vimiminika vya aina vyote na vitu vingi vinavyodondoka, lakini we ulishawahi kudondokea na chaji za umeme, au ulishawahi kudondokewa na umeme?Kinachodondoka ni maji tu?
Haya wee Mkenya tupe basi jibu.
Kama hauendi kama mlivyosema, jaribuni mtoe bulb, weka switch on then weka vidole pale ulipotoa bulb utajua vizuri kama unaenda au la, msisahau kuleta majibu
Sio maji tu, bali pia kuna maembe, matunda yote, mawe, vimiminika vya aina vyote na vitu vingi vinavyodondoka, lakini we ulishawahi kudondokea na chaji za umeme, au ulishawahi kudondokewa na umeme?
wewe ni MWEHU, hivi umeme kwenye holder ya bulb kama hakuna holder, ukiwasha switch huwa unadondoka chini? na kuchafua floor? na huwa unaukasha na Tambara la deki?Hivi radi huwa haidondoki?taka nidondokewe na umeme nife? Hunipendi kumbe!
hahahahahahahahah, waya yenye umeme ndio hua inadondoka ila umeme hauwezi kudondoka bila ya waya ya umeme kudondoka, kwa maana hiyo kama umeme unadondoka basi pia unaweza kuukinga kwenye ndoo ukauweka kwa matumizi ya baadae...Mkuu wa chuo, umenifanyia fitna hadi nimeshindwa kukopi post yako, lakini rejea post yako ya awali, ulishangaa kama umeme huwa unadondoka. Jibu ndio umeme unadondoka na kukausha miti
Kwa bahati mbaya umeme utakwenda hata kama bulb haipo; najua watu wengi hawataamini jibu hili ila ndivyo ilivyo. Umeme tunaotumia majumbani na viwandani duniani kote ni wa aina ya AC, ambayo kwa Tanzania inakuwa na frequency yenye mizunguko hamsini kwa sekunde; umeme huu hupita mahali popte iwapo utaweka mradi tu uwe na nyaye mbili kwa karibu zinazokamilisha mzunguko hata kama hazikuuungana, yaani bulb haipo. Nyaya hizo hufanya kitu kiachoitwa capacitance ambayo hukamilisha circuit ya AC. Uzuri ni kuwa umeme huo huenda kwa kasi ndogo ambayo haitaweza kuathiri sana bili yako ya mwezi, ila ukiuacha kwa muda mrefu sana kama mwaka mzima utakuta bili nayo imepanda kwa kiasi fulani.
hahahahahahahahah, waya yenye umeme ndio hua inadondoka ila umeme hauwezi kudondoka bila ya waya ya umeme kudondoka, kwa maana hiyo kama umeme unadondoka basi pia unaweza kuukinga kwenye ndoo ukauweka kwa matumizi ya baadae...
hahahahahah, haya bana...Anyway, umenishinda kwa ujanja ujanja na msaada wa mod, nitarudi maana sijakubali.