Wasomi wa kitanzania tunajivunia nini?

Wasomi wa kitanzania tunajivunia nini?

NIANZIE NA MIMI MWENYE KAMA MHANDISI KUNA MALALAMIKO MENGI TOKA KWENYE JAMII INAYO TUZUNGUKA KWAMBA WENGI WETU TUMEKUWA TUKIFANYA KAZI KWA MAZOEA BILA KUJISHUGHULISHA SANA AKILI ZETU HILI LINA UKWELI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE UBUNIFU UMEKOSEKANA NDANI YETU HUKU TUKIACHA WAGENI WAKIJA KUFANYA KAZI AMBAZO NI RAHISI SANA MPAKA AIBU .NDIO KUNA SABABU NYINGI SANA ZINAZOCHANGIA HAYA MAMBO NA KUTUFANYA HIVI .LAKINI SWALI LA MSINGI JE NI KWELI PAMOJA NA MAKWAZO HAYO NA MFUMO MBOVU WA NCHI HII HATUWEZI KULIOKOA TAIFA LETU LENYE IDADI KUBWA YA ILLITERACY KWA KUTOA MICHANGO YETU KWA HALI NA MALI KUWA NA UZALENDO JAPO KIDOGO? NIAAMINIVYO MIMI SISI KAMA WASOMI NDIO MWANGA WA TAIFA KAMA NA SISI TUMEKAA KIMYA HATUJISHUGHULISHI HII NCHI SI INAENDA GIZANI TENA TORORO?
HIVI SISI KAMA WASOMI TUNA KIPI CHA KUJIVUNIA KWENYE HILI TAIFA? OUR BSC,BA, PHD , MA ,MSC etc. SO WHAT KAMA OUTPUT HAIONEKANI? TUAMKE WASOMI WENZANGU TUOKOE NCHI YETU
KWA NAMNA YEYOTE YATUPASA MCHANGO WETU UONEKANE YES WE CAN

Kwa bahati mbaya output ni vocabulary mpya kwa watanzania wengi! kila kitu ni mazoea hata siasa ni mazoea tu hatujui nini maana ya output
 
Nakubaliana na wengi kusema kuwa wasomi wa Tanzania hawafanyi lollote kuendeleza nchi. Hata hivyo sidhani kama hiyo inatokana na elimu yao kuwa ya Tanzania kwani tuna wasomi kibao waliosoma nchi za nje ambao matendo yao hayatofautiana na wale waliosma Tanzania. Mimi ninadhani kuwa mazingira ya maisha yanachangia sana kuwafanya wasomi hao wasiwe active. Angalia kuwa mtanzania aliyekuwa active akiwa nchi za nje, mara anaporudi nyumbani hugeuka na kuwa kama wengine aliowakuta: mifano ipo kibao. Vile vile watanzania waliohamia nchi za nje wanapofika huwa wanakuwa active sana tofauti na walivyokuwa Tanzania. Nadhani mazingira yetu yanahitaji kuangaliwa kwa undani kuangalia ni jinsi gani yanavyochangia watu wetu washindwe kuwa active na badala yake wawe walevi, wapenda njia za mkato na upuuzi mwingine wa namna hiyo.
 
Mtoa mada ninakushukuru sana na umenigusa mno rohoni. Mimi japokuwa sio msomi lakini huwa ninawaangalia watu wanaojiita ni wasomi wa Tanzania lakini ninashindwa kupata tafsiri yake ukilinganisha na wasomi wa nchi nyingine. Msomi wa Tanzania aambiwe asimamie kitu fulani hawazi ni mpaka aibe hapo hata kidogo . Na ndio maana unakuta baadhi ya watanzania wanashindwa kuaminika hata nje ya nchi yao, kwa sababu anajulikana anasifa gani, hapa ni kila mtu anajijua aliko, fanyeni uchunguzi. Yaani hichokitabia hapo Tanzania kinaadhiri sana cha udokozi kinaathiri kwa kiasi kikubwa sana, tuambizane ukweli ndugu zanguni. Wanasema mficha ............ Yaani wasomi wangekuwa kama ma-professa au walimu waliowafundisha Tanzania ingekuwa sio hii Tanzania ya leo. Ungekuta tunakimbizana hata na KENYA hapo karibu kiuchumi.

Na kinacho changia matatizo yote haya ni kudharauliana, kutokuridhika na unachopata mpaka mpambane na Regginald Mengi, majivuno, uwivu, ubinafsi, ubabaishaji, undugu, kutokuwa na ujuzi au uelewa wa kutosha juu ya unachokifanya au unachokiongoza, (mfano waliouwa mashirika ya umma), ushirikiano nk.

Tusikubali watu wachache wachafue usomi wa Tanzania kwa ajili ya ushikaji, undugu, unachangia sana kuumiza wanzania. Wasomi amkeni mjikosoe wenyewe kwanza msioneane aibu, ninadhani rushwa itatokomea na watu watafanya kazi na tutawaridhisha kizazi kinachokuja mazingira mazuri. Ningeomba kutokana na hali ya CCM kulifumbia macho na kufanya undugu, ujomba na ushangazi hili baraza kivuli litusaidie kupembua huu mchele. Hii ndio raha ya kuwa na upinzani huku bara.
 
je .. wasomi tunaingia hasa kwenye siasa tunakuwa tumejianda kuokoa hii nchi kifikra au unakuwa mgongo wa kupatia kipato tu na kusahau dhima kubwa usomi wako.. maana naona sasa watu wanayumbisha hii nchi ni hawa hawa tena ni recently graduates to bad too sad ...
 
NIANZIE NA MIMI MWENYE KAMA MHANDISI KUNA MALALAMIKO MENGI TOKA KWENYE JAMII INAYO TUZUNGUKA KWAMBA WENGI WETU TUMEKUWA TUKIFANYA KAZI KWA MAZOEA BILA KUJISHUGHULISHA SANA AKILI ZETU HILI LINA UKWELI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE UBUNIFU UMEKOSEKANA NDANI YETU HUKU TUKIACHA WAGENI WAKIJA KUFANYA KAZI AMBAZO NI RAHISI SANA MPAKA AIBU .NDIO KUNA SABABU NYINGI SANA ZINAZOCHANGIA HAYA MAMBO NA KUTUFANYA HIVI .LAKINI SWALI LA MSINGI JE NI KWELI PAMOJA NA MAKWAZO HAYO NA MFUMO MBOVU WA NCHI HII HATUWEZI KULIOKOA TAIFA LETU LENYE IDADI KUBWA YA ILLITERACY KWA KUTOA MICHANGO YETU KWA HALI NA MALI KUWA NA UZALENDO JAPO KIDOGO? NIAAMINIVYO MIMI SISI KAMA WASOMI NDIO MWANGA WA TAIFA KAMA NA SISI TUMEKAA KIMYA HATUJISHUGHULISHI HII NCHI SI INAENDA GIZANI TENA TORORO?
HIVI SISI KAMA WASOMI TUNA KIPI CHA KUJIVUNIA KWENYE HILI TAIFA? OUR BSC,BA, PHD , MA ,MSC etc. SO WHAT KAMA OUTPUT HAIONEKANI? TUAMKE WASOMI WENZANGU TUOKOE NCHI YETU
KWA NAMNA YEYOTE YATUPASA MCHANGO WETU UONEKANE YES WE CAN
a cry of a very desperate professional....Yes you can...but what have you done individually to develop your country???...you see...you could be a good case example for other professionals if you presented yourself as a case example for TZ professionals....by enlisting your achievements (academically an socially)for others to follow or get influenced...otherwise...to me, you sound like just another desperate Tanzanian professional who is seeking support from others in trying to do something (on paper)....My friend....real change begins with you.....However, at least you know you are part of the problem in TZ.....Thats my take on you man......ahaaa.....
 
Usishau pia yafuatayo
1. Wavivu- ofisini wapewa vyeo hawafanyi kazi zao kusaidia jamii kila siku ni kuhudhuria mikutano, semina, etc..

2. Kukosa ubunifu- wanafanya yaleyale na vilevile bila mabadiliko

3. usumbufu- wanafurhaia kumsumbua wanayemhudumia kuonyesha kwamba wana vyeo...(njoo kesho bila sababu ya msingi)

4. Uwizi - EPA, PPF, Richmond ni kutokana na wasomi wezi.

Hilo la kukosa ubunifu linachangiwa na imani potofu ndani ya jamii kuwa Mtanzania hawezi kubuni kitu. Ukichunguza utagundua kuna nguvu kubwa sana nyuma ya hii imani. Misingi yake ni kasumba za kikoloni tunazoendelea kuenzi mpaka leo.
Wageni wameshagundua kuwa hili tatizo ni mtaji mkubwa kwao kwa hiyo wanalipalilia vilivyo. Walafi wananufaika nalo kwa kuingiza bidhaa feki kutoka nje.
 
Tunajivunia kuwa wanachama wa chadema wakati hatuna kitu (ajira),baadae tukipata/ajira serikalini tunaondoka chadema na kuwa watu ambao hatuna chama chochote bali maslai ya taifa pekee.

Ikumbukwe kuwa si kila msomi atakuwa mwanachama wa chama cha siasa.Msomi wa kweli hana chama.
 
Back
Top Bottom