Wasomi vs wataalamu

BLACK_WIDOW

Senior Member
Nov 17, 2018
133
318
Ni wazi watu waliosoma Sayansi wamekuwa na dharau kupindukia kwa watu waliosoma masomo ya sanaa, mara nyingi hujiona wao ndo babkubwa na ndo wasomi sana

Ila ukiangalia nature ya hizo kada mbili, utagundua watu waliosoma ARTS ndio hodari sana na kutegemewa katika kutatua mambo mbalimbali yanayohitaji kutatuliwa kisomi zaid

Chunguza katika midahalo mikubwa, mara nyingi utakuta washiriki wakuu ni watu wa kada ya sanaa, hata katika uongozi

*WATU WA KADA YA SAYANSI* wao hubaki kuwa wataalamu ambao hukosa flexibility, yaani upeo wao wa utatuzi wa mambo mara nyingi hauvuki nje ya taaluma zao, mfano ma MD's, ma-Engineers.

NB: Nyie watu wasayansi ni wataalamu tu, usomi wanao watu wa Arts
 
Upo sahihi, watu wa art ndio watawala na waongeaji wa kubwa. Wana uwezo wa kupayuka bila kufikiria sana ukweli na madhara ya mbeleni. Wanasayansi husema kidogo , muda wao mwingi ni kusikiliza kisha kutafiti na kutolea majibu hoja zilizojitokeza.
 
Wasomi huwa wataalamu baadaya ya kukubuhu au kubobea, iwe katika sayansi au sanaa.
 
Back
Top Bottom