dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,469
- 58,125
Hii kitu inaitwa "chupa mpya, mvinyo ule ule". Nothing new!
Bwa ha ha ha ha ha! Hiyo cha mtoto mkuu; I can guess 2015 watakuja na Chupa ya Dhahabu ndani watatia mkojo. Chezea magamba wewe.
Hii kitu inaitwa "chupa mpya, mvinyo ule ule". Nothing new!
Kwa nini huwa wapinzani hawatoi mbdala wa tatizo huwa wanaponda tu,, ,,,,, suluhisho nini,,,, toeni mbdala wa tatizo.

Kwa mantiki hiyo tunaweza kukubaliana kuwa hoja ya Zitto na zile kura 70 hazikua na mantiki ya kupigwa kwa sababu bado si chochote si lolote?
Ha ha ha ha ha ha ,tumeshawazoea magwanda ni kawaida yenu kuponda jamani mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni mwanzoni mlisema anasita kufanya mabadiliko mkashabikia kwa nguvu Raisi afanye mabadiliko awatoe walioshindwa kusimamia vizuri wizara zao aweke watu wapya na mkumbuke Mh Raisi alitaka kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri toka mwishoni mwa mwaka jana na tetesi hizo zilizagaa sana sasa kutokana na matatizo yaliyojitokeza imembidi Raisi afanye mabadiliko ya baraza la mawaziri haraka na nyie Mgambo pamoja na vyama vingine vya upinzani mkasema mnamtaka Raisi awatoe mawaziri wasiyo wajibika vizuri sasa kawatoa kaweka wapya bado mnalalama,tumeshawazoea ndiyo kawaida yenu liwe jambo zuri au baya nyie mnaponda tu mnapiga makelele kama vyura mabondeni usiku tabia hiyo si nzuri tunajenga kizazi kijeuri kwa taifa letu !

Mi napata wasi wasi na na huyu paroko asiyekuwa na kanisa, aliyepeleka hoja ya kujiuzulu mawaziri ni naibu katibu mkuu wake sasa baada ya kuwatoa waliowataka wawatoe anasema hakuna chochote sielewi anataka nini huyu jamaa,hakuna kinachofanywa na serikali akakiona kizuri huyu ni mtu wa namna gani, sasa si wakati wake anapashwa kujiuzulu awaachie vijana wafanye mambo asitake sifa kila wakati,akaulize kigoma walimfanya nini Dr.Kabouru baada ya kumchoka wakampiga chini akahamia ccm,paroko naona siasa za inchi hii zimekushinda umebakia kutafuta sifa tu
nunu,
..lakini Raisi amekuwa madarakani kwa miaka 7 sasa.
..alijiandaa kuchukua Uraisi kwa miaka 10 toka 95 mpaka 2005.
..halafu amekuwa serikalini sasa kwa zaidi ya miaka 20.
..hivi inaingia akilini kwamba sasa ndiyo anakumbuka kwamba uwajibikaji uende mpaka wa civil servants mawizarani???
..mimi nadhani kwa kauli hiyo ya Raisi, wa-Tanzania tulipaswa tuwajibishe yeye mwenyewe.
..kama anafikiri makatibu wakuu ndiyo wenye matatizo basi alipaswa kuwatimua makatibu wakuu na kuwaacha mawaziri wake anaotaka tuamini ni wachapakazi.