DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,898
Sukari ilipandaga kiutaniutani mpaka sasa tumezoea bei ya sukari. Mafuta nayo yanapanda kiutaniutani kwa mivutano ya mamlaka za serikali. Sijui kitafata nini kupandishwa bei Ifike sehemu mamlaka zifanye kazi kulinda watanzania na sio kuwaongezea mzigoIla akiwa ndani ya serikali ni kuharbu tu mfano mdogo inshu ya mafuta walioharbu ni wasomi walioko ndani ya serikali alafu wasomi walioko nje ya serikali wanawapinga kuwa hapa mnaharbu