E EllySkyWilly JF-Expert Member Joined Aug 28, 2020 Posts 2,204 Reaction score 2,086 Jan 10, 2021 #341 Abby Newton said: Hoja yako ina mashiko kwa Tanzania tu! Mbona wenzetu Wakenya na Waganda wote wanajua hiyo sjui Tech na Fluent English? Tukubali elimu yetu ina shida. Click to expand... Wao ni mother tongue language, wanatumia hiyo lugha kila mahali. Wakirudi nyumbani na wakiwa mtaani ndio lugha yao ya mawasiliano.
Abby Newton said: Hoja yako ina mashiko kwa Tanzania tu! Mbona wenzetu Wakenya na Waganda wote wanajua hiyo sjui Tech na Fluent English? Tukubali elimu yetu ina shida. Click to expand... Wao ni mother tongue language, wanatumia hiyo lugha kila mahali. Wakirudi nyumbani na wakiwa mtaani ndio lugha yao ya mawasiliano.