Mangi sina alikatwa shingo na wajerman
Mkwawa walimchinja ila wajinga wachache wanasema alijiua
Chief Nana was opobo alichinjwa hadharani
Mfalme jaja alinyongwa usiku
Patrice lumbunga alichomwa moto na CIA
Sadamu Hussein alinyongwa na waislamu wenzake kwa msaada wa NATO Gen machristo mkuu wa vikosi vya NATO Iraq alishuhudia hii kitu
Mzee karume alipigwa risasi ya tako akiwa anacheza bao ,lipigwa na Henga kwa msaada wa sultan jamsheede ambaye yupo burmigham UK
Mwanahabari Jamal khashogg alikatwa katwa vipande na MBS kwa mujibi wa Congress ya USA
Caros Teves alirushiwa ndizi na mashabiki wakimfananisha na nyani
Rais Bush Jr aliruahiwa viatu na wanahabari mjini Baghdad
Adoph Hitra aliwachoma moto maelfu ya wayahudi katika utawala wake ,maujai haya maarufu kama horrocost hutajwa kuwa ya kinyama zaidi
Nitarudi