BashiteHabari Great thinkers, Nina Swali naomba Wasomi wazuri wa History Wanisaidie.
Nahitaji kujua Africans (Kwa majina) ambao waliopitia mateso ya ubaguzi na kunyanyasika kutoka kwa race nyingine miaka iliyopita.
Katika kuhangaika kwangu nimefanikiwa kuwapata wawili tu ambao ni Sara Baartman wa South Africa na Ota Benga wa Congo. So nahitaji kuwajua wengine zaidi. Hata ukinitajia majina tu nitashukuru.
Wenye Ujuzi wa History naombeni Msaada wenu tafadhari.
Habari Great thinkers, Nina Swali naomba Wasomi wazuri wa History Wanisaidie.
Nahitaji kujua Africans (Kwa majina) ambao waliopitia mateso ya ubaguzi na kunyanyasika kutoka kwa race nyingine miaka iliyopita.
Katika kuhangaika kwangu nimefanikiwa kuwapata wawili tu ambao ni Sara Baartman wa South Africa na Ota Benga wa Congo. So nahitaji kuwajua wengine zaidi. Hata ukinitajia majina tu nitashukuru.
Wenye Ujuzi wa History naombeni Msaada wenu tafadhari.
Asante sana mzee, asante usingechoka kuandika ningefurahi sana. Ila hata huu ni msaada mkubwa sana, Nashukuruhv n mimi sijaelewa swali au maana wenzangu wote wanavyojb na nilivyoelewa n tofaut,
anyway
Will Brown-USA
Rosa louise McCauley Parks- USA
Creuza oliveira - brazil
Ron law - Austal
Marcus Boyd - USA
Josephine Harper
Elijah Turley
evra, henry, eto'o, auba, stering, sol campbell, daren moore, danny rose.
Ni weng sanaa nimechoka kuandka
Shukrani sana bossMangi sina alikatwa shingo na wajerman
Mkwawa walimchinja ila wajinga wachache wanasema alijiua
Chief Nana was opobo alichinjwa hadharani
Mfalme jaja alinyongwa usiku
Patrice lumbunga alichomwa moto na CIA
Sadamu Hussein alinyongwa na waislamu wenzake kwa msaada wa NATO Gen machristo mkuu wa vikosi vya NATO Iraq alishuhudia hii kitu
Mzee karume alipigwa risasi ya tako akiwa anacheza bao ,lipigwa na Henga kwa msaada wa sultan jamsheede ambaye yupo burmigham UK
Mwanahabari Jamal khashogg alikatwa katwa vipande na MBS kwa mujibi wa Congress ya USA
Caros Teves alirushiwa ndizi na mashabiki wakimfananisha na nyani
Rais Bush Jr aliruahiwa viatu na wanahabari mjini Baghdad
Adoph Hitra aliwachoma moto maelfu ya wayahudi katika utawala wake ,maujai haya maarufu kama horrocost hutajwa kuwa ya kinyama zaidi
Nitarudi
Mbuzi wehv n mimi sijaelewa swali au maana wenzangu wote wanavyojb na nilivyoelewa n tofaut,
anyway
Will Brown-USA
Rosa louise McCauley Parks- USA
Creuza oliveira - brazil
Ron law - Austal
Marcus Boyd - USA
Josephine Harper
Elijah Turley
evra, henry, eto'o, auba, stering, sol campbell, daren moore, danny rose.
Ni weng sanaa nimechoka kuandka
Mangi sina alikatwa shingo na wajerman
Mkwawa walimchinja ila wajinga wachache wanasema alijiua
Chief Nana was opobo alichinjwa hadharani
Mfalme jaja alinyongwa usiku
Patrice lumbunga alichomwa moto na CIA
Sadamu Hussein alinyongwa na waislamu wenzake kwa msaada wa NATO Gen machristo mkuu wa vikosi vya NATO Iraq alishuhudia hii kitu
Mzee karume alipigwa risasi ya tako akiwa anacheza bao ,lipigwa na Henga kwa msaada wa sultan jamsheede ambaye yupo burmigham UK
Mwanahabari Jamal khashogg alikatwa katwa vipande na MBS kwa mujibi wa Congress ya USA
Caros Teves alirushiwa ndizi na mashabiki wakimfananisha na nyani
Rais Bush Jr aliruahiwa viatu na wanahabari mjini Baghdad
Adoph Hitra aliwachoma moto maelfu ya wayahudi katika utawala wake ,maujai haya maarufu kama horrocost hutajwa kuwa ya kinyama zaidi
Nitarudi
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]Mbuzi we
kisa cha kunitukana ni ni ndg?Mbuzi we
Alichomaanisha kwamb msomi co mpk awe na vyeti ukiwa unafahmu jambo fulani unaweza pia ukawa msomiUsiwe unasema wasomi wakusaidie especially katika mambo ya kuhitaji msaada ambao mtu yeyote anawea akakusaidia(history sio somo la gumu kias cha kusema wasomi wakusaidie) pia kumbuka sio kila msomi ana uelewa mpana,na sio kila ambae hajaenda shule bhas hana uelewa,Mfano marehemu Songambele na darasa ya saba yake aliweza kuwa Boss pale tanesco na hata akashika nyadhifa nyingi za kiutawala serikarin na hakubolonga kama hawa wasomi wa sasa unaowaamini,Ni ajab na inasikitisha kuona mtu anaejiita msomi wa karne hii una mentality ya ukoloni
Tufafanulie huo ukweli wa Mkwawa Kuchinjwa hadharani na sio kujiua maana hata fuvu lake lina tundu risasi alizojipiga