Juan junior
Senior Member
- Jan 26, 2015
- 119
- 20
si wanaume wote ni watu sound sound wengine wanamaanisha.
mpumbavu ni yule anayeamini hili haliwezekani ila la 50mil kila kijiji linawezekana.
Tutampa kura kizembe pia.
Asiyetaka ikulu kwa nguvu hazunguki jukwaani jua kali kutoa mapovu watu wampe kura.
Msomi asiyeona logic kwenye ahadi hiyo,ni wakumbadilisha na twiga walioenda qatar warejee waendelee kuvuta utarii yeye akawe makumbusho kule.
ukitaka kumvua nguo anayegeuza madaraka dili,toa bure vyote anavyouzia watu🙂
wanapenda mteremko sababu hawaoni sababu ya kupanda mlima.
Anayenunua fikra za wenzie ni yule anayewahimiza watu ataleta mabadiriko wakati ccm ni ile ileO🙂O🙂???
Hivi wewe Eli79 ukimsikiliza Magufuli unatoka na nini?? ile mihemko ya kisiasa?? Kukurupuka kusema vitu asivyovijua? Au takwimu za punda na mbwa? Au jinsi anavyowananga mawaziri wenzake katika serikali??? ni nini hasa?
Changa la macho na changamoto la kupambanua pumba na mchele kwa wananchi wote!!!!.. Inabidi tuwe na FACT CHECKS!.. ahadi/sera ipi ni kweli inatekelezeka na ipi ni pumba isiotekelezeka!Unadhani nchi kutajirika inakuja;
- Kwa kusamehewa mikopo
- Kubomolewa nyumba za nyasi ndani ya siku 100 na kujengewa na tofali.
- Kuondoa rushwa ndani ya siku 100 za utawala wa ENL
- Majiji ya Dar Ar na Mza kuwa na historia ya foleni ndani ya siku 100 za utawala wa ENL.
....Kweli nawaonea wivu wasomi kama nyie!!! Hakika nchi itasonga mbele!!!
Ndo unatakiwa useme sasa hayo mambo ambayo we unaona yatatajirisha nchiUnadhani nchi kutajirika inakuja;
- Kwa kusamehewa mikopo
- Kubomolewa nyumba za nyasi ndani ya siku 100 na kujengewa na tofali.
- Kuondoa rushwa ndani ya siku 100 za utawala wa ENL
- Majiji ya Dar Ar na Mza kuwa na historia ya foleni ndani ya siku 100 za utawala wa ENL.
....Kweli nawaonea wivu wasomi kama nyie!!! Hakika nchi itasonga mbele!!!
Kile kilio cha siku nyingi cha maumivu ya mkopo wa elimu ya juu kinakaribia kupatiwa jibu. Mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa ameahidi kuwasamehe wale wote waliokopeshwa na kodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Lowassa anamaanisha kuwa wanaodaiwa hawatalipa tena na itakuwa ni kama wamesomeshwa bure tu na Serikali yao.
Wakati huohuo, Lowassa anaendelea kusisitiza kuwa elimu ya chuo kikuu itakuwa bure. Wasomi wa wakati wa nyuma na wale wa sasa, mnataka nini tena? Lowassa, kutokana na ahadi zake za kiuchaguzi, anatamani kuona elimu inakuwa bure na hata wale waliokopeshwa wakijisikia kuwa wamesoma bure. Lengo kuu ni kutoa elimu ya bure na bora kwa maendeleo ya Tanzania yetu.
Mtampa kura wasomi wa Tanzania? Wale waliolipa hadi kumaliza mkopo, Serikali itawarudishia fedha zao? Tutege masikio tena kumsikia Lowassa atalisemeaje hili.
Kurukaruka kama popcorn sio ishuHakika mmepata mabadiliko mwaka huu. Only in reverse mode...teh!!
Kile kilio cha siku nyingi cha maumivu ya mkopo wa elimu ya juu kinakaribia kupatiwa jibu. Mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa ameahidi kuwasamehe wale wote waliokopeshwa na kodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Lowassa anamaanisha kuwa wanaodaiwa hawatalipa tena na itakuwa ni kama wamesomeshwa bure tu na Serikali yao.
Wakati huohuo, Lowassa anaendelea kusisitiza kuwa elimu ya chuo kikuu itakuwa bure. Wasomi wa wakati wa nyuma na wale wa sasa, mnataka nini tena? Lowassa, kutokana na ahadi zake za kiuchaguzi, anatamani kuona elimu inakuwa bure na hata wale waliokopeshwa wakijisikia kuwa wamesoma bure. Lengo kuu ni kutoa elimu ya bure na bora kwa maendeleo ya Tanzania yetu.
Mtampa kura wasomi wa Tanzania? Wale waliolipa hadi kumaliza mkopo, Serikali itawarudishia fedha zao? Tutege masikio tena kumsikia Lowassa atalisemeaje hili.
Walouwa viwanda wengne mpo nao huko mnapga nao kelele za mabadliko. Salt vepeee grow up au ndo thinking is prohibited?
Mpasho ee, huez kunielewa coz nshakwambia thinking is prohibited ndo maana unaona mpasho kama ile mipasho yenu ya kumrudisha balal akishnda urais
Hizo argument zako wewe ziko wapi? Au kusema "thinking is prohibited" ndo umeargueAnhaa vp mkuu umetoka kuamka nn? Leta solid arguments na sio taarabu na nashndwa kujizuia kukuita lile jina alowaita uncle benja
Kile kilio cha siku nyingi cha maumivu ya mkopo wa elimu ya juu kinakaribia kupatiwa jibu. Mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa ameahidi kuwasamehe wale wote waliokopeshwa na kodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Lowassa anamaanisha kuwa wanaodaiwa hawatalipa tena na itakuwa ni kama wamesomeshwa bure tu na Serikali yao.
Wakati huohuo, Lowassa anaendelea kusisitiza kuwa elimu ya chuo kikuu itakuwa bure. Wasomi wa wakati wa nyuma na wale wa sasa, mnataka nini tena? Lowassa, kutokana na ahadi zake za kiuchaguzi, anatamani kuona elimu inakuwa bure na hata wale waliokopeshwa wakijisikia kuwa wamesoma bure. Lengo kuu ni kutoa elimu ya bure na bora kwa maendeleo ya Tanzania yetu.
Mtampa kura wasomi wa Tanzania? Wale waliolipa hadi kumaliza mkopo, Serikali itawarudishia fedha zao? Tutege masikio tena kumsikia Lowassa atalisemeaje hili.
Utampigia kura yako lakini?
Ofisi gani unafanya mkuu ili tuwakatie umeme?siyo ya kuuliza, kura yangu na watu wang ofcn ni Lowasa, halina mjadala tumechoka na maccm