Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,736
Kala Jeremiah na Prof. Jay waliimba. Exactly jamaa anachoahidi hapa. Nchi ya asali na maziwa...
Sio kwa push ups tu mae, lakini kwa speech za dk tano, kusoma sera tovutini, kushikiwa mic, kushikwa tukipanda jukwaani na....... ile nyingine nakuwa mstaarabu!Ulitaka tutongozwe kwa push ups? Lowasa mabadiliko.....
Hivo hivo ila kura kwa lowasa na UKAWA
Hayo mafuriko ya viwanda tunayoahidiwa yataendeshwa kwa umeme upi? Na wauaji wa viwanda vilivyokuwepo ni kina nani?
Unadhani nchi kutajirika inakuja;Hayo mafuriko ya viwanda tunayoahidiwa yataendeshwa kwa umeme upi? Na wauaji wa viwanda vilivyokuwepo ni kina nani?
Unadhani nchi kutajirika inakuja;
- Kwa kusamehewa mikopo
- Kubomolewa nyumba za nyasi ndani ya siku 100 na kujengewa na tofali.
- Kuondoa rushwa ndani ya siku 100 za utawala wa ENL
- Majiji ya Dar Ar na Mza kuwa na historia ya foleni ndani ya siku 100 za utawala wa ENL.
....Kweli nawaonea wivu wasomi kama nyie!!! Hakika nchi itasonga mbele!!!
Sio kwa push ups tu mae, lakini kwa speech za dk tano, kusoma sera tovutini, kushikiwa mic, kushikwa tukipanda jukwaani na....... ile nyingine nakuwa mstaarabu!
Walouwa viwanda wengne mpo nao huko mnapga nao kelele za mabadliko. Salt vepeee grow up au ndo thinking is prohibited?
Hakika mmepata mabadiliko mwaka huu. Only in reverse mode...teh!!Oooh kumbe shida ako ni speech za masaa nane, hizo nakuhakikishia kwa lowasa hautazipata...kushikiwa mic tatizo? Hata kanisani msoma injili huwa anashikiwa
Tunahitaji na tumeamua mabadiliko
si wanaume wote ni watu sound sound wengine wanamaanisha.Hizo ni sound tu kama za mwanaume anavyomtokea demu
mpumbavu ni yule anayeamini hili haliwezekani ila la 50mil kila kijiji linawezekana.Yani hapo ni kama demu anapigishwa sound, nae kaingia kingi...ona wapumbavu wasiojielewa wanavyofurahi!!
Tutampa kura kizembe pia.poleni sana!! mmetongozwa kizembe mmekubali kizembe.
hayo ni maneno ya mwanasiasa anayetaka kwenda ikulu kwa nguvu zote.
Msomi asiyeona logic kwenye ahadi hiyo,ni wakumbadilisha na twiga walioenda qatar warejee waendelee kuvuta utarii yeye akawe makumbusho kule.lowassa anajua kabisa hapit ndo maana anaahidi vitu visivyokuwa hata na logic. Any way endeleen kujifariji na kama ni mnufaika wa loan board utarejesha tu fedha ili na mwanao pia anufaike. Polen sana mnaojiita wasomi wakati uwezo wenu kuchanganua mambo umezuiliwa na mahaba.
ukitaka kumvua nguo anayegeuza madaraka dili,toa bure vyote anavyouzia watu🙂Ukitaka kumkamata Mtanzania mpe matumaini hewa
wanapenda mteremko sababu hawaoni sababu ya kupanda mlima.Kazi ipo kwa kwel el79. Pia nimegundua hapa wanaojiita wasomi pia wanapenda sana mteremko a.k.a shumbwela ndo maana n rahc kununuliwa kifikra kama ambavyo lowasa anawafanyia sasa hv.
Hujajibu walioua viwanda ni kina nani???huo uloandika ni mpasho sio jibu