Wasomi 300 wajiunga na CCM

Wasomi kama kina kitila mkumbo ni janga la nchi hii
Cc😛rof kapuya!
 

Qualification ya kuitwa msomi ni ipi, na qualification ya kuwa mwanafunzi wa chuo ni ipi? Au neno wasomi lina maana nyingi?

Huu ndio muelekeo wa kimaendeleo, muelekeo ambao mnapangisha kila kitu kwa bei poa (karibu na bure) Mkimaliza kuuza vitalu sijui mtauza nini? Deal zitakuwa zimeisha, tembo watakuwa wameisha na twiga watakuwa wameisha. Mtaanza deal za kuvinunua mlivyouza kama mlivyoanza na tulawaka. Tena mtavinunua kwa bei mara elfu zaidi ya gharama halisi. Yaani hili la kuuza na kununua nafikiri ndio tafsiri sahihi ya maendeleo ndani ya CCM chini ya Mpango wa kupunguza Umasikini Binafsi na kujiletea utajiri wa kutisha usio na ufafanuzi.

Nikiangalia jinsi ccm inavyowauza watanzania mchana kweupe natamani kulia, lakini ninapoona majuha wanaendelea kuitetea ccm machozi hunilenga!
 
ni njaa tu hakuna usomi. wasomi wanajiunga na chama cha mgao wa umeme, elimu ya kustandadaiz, mafisa na wa pliz consider my son.
 
Amesema Chama Makini, kinachopenda haki na kuheshimu haki za wengine..ni kweli sijui!! Mmh labda ni CCM ya enzi zetu mbaka 1985....refers AHADi za Mwana-CCM we Mleta mada kama ulizaliwa awamu ya kwanza lakini ya utawala!!
 
Hao ni wababaishaji pia huenda ukiwaachunguza
huwezi kuwakosa na Certificate za Mirembe.
 
Hahahahh. Kweli kabisa. Akija Mbatia wanarejesha kadi za CCM na kuchukua za NCCR, hali kadhalika akija Mbowe wanarejesha za NCCR na kuchukua za Chadema. Yani ni sanaa kwa kwenda mbele
 
Hivi kumbe kule kwenu wa division five ndo wako vyuoni.

Sidhani kama kuna "msomi" ambaye ziko timamu upstairs anaweza kujiunga na hiki chama. Kama ni kweli ni "wasomi", lazima walipata division five! au walisupp, wakacarry then wakadisco. Na bado wanajiita "wasomi"!
 
Hao wasomi watakuwa uchwara, wanadhani watakuwa "mafisadi"
 

Tatizo la kusoma madrasa na kuiacha elimu dunia ndicho kilichokufanya ushindwe kuandika kiswahili. soma ulichokiandika halafu ujicheke.
 

Wait please,54 kg
 
Kwenye red hapo......Mmmmmmmh!!!!
 
Wageni watafurahia, ishu ni majirani na wenyeji ambao tunakufahamu fika na CCM yako tumefurahia, au utumbo mtupu???
 
Ulizia kwanza nini motivation ya hao jamaa kukiunga CCM? jibu ni moja tu kuwa wanatafuta fedha kwani CCM hawajatambua kuwa wanafunzi hao wanapenda offa za mshiko ikiwemo kukodishiwa mabas na kwenda kutalii dodoma. Mara baada ya shule wengi wao huachana nayo.
 
Inachafua tafsiri ya wasomi hii....okay
 

Attachments

  • 1385381316683.jpg
    7.5 KB · Views: 195
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…