Wasomi 1,500 wa Vyuo Vikuu wajiunga CCM

Wasomi 1,500 wa Vyuo Vikuu wajiunga CCM

LEO TAR 01/02/ 2018

*Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu* Ndg Daniel Zenda Leo amekabidhi kadi za Wanachama Uvccm 1500 kwa *katibu Hamasa Seneti ya Mkoa wa Dsm* Ndg Juakali kuwanya , Baada ya Mwamko mkubwa wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuunga mkono na kuvutiwa na Utendaji Uliotukuka wa *Rais John Pombe Magufuli* na Serikali yake ya Awamu ya Tano na kuamua kujiunga na chama anacho kiongoza *Chama Cha Mapinduzi* na Jumuiya zake.

Imetolewa na
Uvccm Seneti Mkoa Dsm.View attachment 688746
Hao sio wasomi bali ni nyuki wasiojielewa wanachokifanyaa
 
Binafsi naishangaa wizara ya elimu hasa pale inaporuhusu taasisi na vyuo vya umma kuwa chuo cha ccm! Hata kama waziri na watendaji wengine ni ccm lakini hili halikubaliki kwa maana ya ujenzi wa fikra usio na mwelekeo wa kiitikadi katika vyuo vikuu!
Itoshe kusema sio jambo la kujivunia hasa kwa wataalam watarajiwa hawa kupikwa kichina!
Sina chama!
 
Hizi taarifa hazina tija kwa vijana wetu waliokosa ajira,sio mda wa kampeni,si mlisema nyie wa Lumumba, fanyeni kazi,acheni umbea
 
Hao wanaenda kuandaliwa kuchukua nafasi za wasomi wengine kama Chenge na watapewa uzoefu wa kutosha wa jinsi ya kufisidi nchi
 
wachumia tumbo hao....hakuna usomi hapo !!!!
 
Eti wasomi wa vyuo vikuu. Shame on you!
Kijana msomi na anaejitambua hawezi kamwe kukishabikia chama cha wavaa hirizi na manunuzi!
 
LEO TAR 01/02/ 2018

*Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu* Ndg Daniel Zenda Leo amekabidhi kadi za Wanachama Uvccm 1500 kwa *katibu Hamasa Seneti ya Mkoa wa Dsm* Ndg Juakali kuwanya , Baada ya Mwamko mkubwa wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuunga mkono na kuvutiwa na Utendaji Uliotukuka wa *Rais John Pombe Magufuli* na Serikali yake ya Awamu ya Tano na kuamua kujiunga na chama anacho kiongoza *Chama Cha Mapinduzi* na Jumuiya zake.

Imetolewa na
Uvccm Seneti Mkoa Dsm.View attachment 688746
Ndio maana Tanzania inaendelea kuwa masikini. Mafisadi wanarithishana vizazi kwa vizazi
 
Msomi...n neno zto kdgo c kla alopita varsity n msomi
 
hahha mfatilieni vizuri huyo mliyemkabidhi hizo kadi 1500 mtakuta amezificha kwenye kabati yake hostel na pesa yaenu kapiga
 
kula CCM kura upinzani!! ukicheza huu mchezo mjini we fundi
 
Wabinafsi hawo , wameenda kunyemelea vyeo. Msomi yeyote aliyeko ccm, yuko kwa ajili ya maslahi binafsi. Ccm sio mahali pakupigania haki za wanyonge. Kwani ccm nyio wavunjifu wa haki za wanyonge.
 
LEO TAR 01/02/ 2018

*Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu* Ndg Daniel Zenda Leo amekabidhi kadi za Wanachama Uvccm 1500 kwa *katibu Hamasa Seneti ya Mkoa wa Dsm* Ndg Juakali kuwanya , Baada ya Mwamko mkubwa wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuunga mkono na kuvutiwa na Utendaji Uliotukuka wa *Rais John Pombe Magufuli* na Serikali yake ya Awamu ya Tano na kuamua kujiunga na chama anacho kiongoza *Chama Cha Mapinduzi* na Jumuiya zake.

Imetolewa na
Uvccm Seneti Mkoa Dsm.View attachment 688746

Hawa wanatafuta Mikopo baada ya kuambiwa wasipokuwa wanaCCM hawatapata mikopo.Anyway poleni wanafunzi
 
Cku hizi ukimaliza tu chuo direct lumumba kwenda kujiunga ccm aiseee......
 
Back
Top Bottom