Wasomi 1,500 wa Vyuo Vikuu wajiunga CCM

Wasomi 1,500 wa Vyuo Vikuu wajiunga CCM

Wengine mnawazuia kutafuta wanachama afu nyie mnazunguka na kukampeni. Kuunga mkono maana yake nini
 
Hao
*Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu* Ndg Daniel Zenda Leo amekabidhi kadi za Wanachama Uvccm 1500 kwa *katibu Hamasa Seneti ya Mkoa wa Dsm* Ndg Juakali kuwanya , Baada ya Mwamko mkubwa wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuunga mkono na kuvutiwa na Utendaji Uliotukuka wa *Rais John Pombe Magufuli* na Serikali yake ya Awamu ya Tano na kuamua kujiunga na chama anacho kiongoza *Chama Cha Mapinduzi* na Jumuiya zake.
wanafunzi waliopokelewa/waliopewa kadi wako wapi na katika vyuo vikuu vipi. Hizo kadi ndio wanachama??
 
Wasomi huwa wanamiliki vyeti vya level gani
 
LEO TAR 01/02/ 2018

*Kaimu katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu* Ndg Daniel Zenda Leo amekabidhi kadi za Wanachama Uvccm 1500 kwa *katibu Hamasa Seneti ya Mkoa wa Dsm* Ndg Juakali kuwanya , Baada ya Mwamko mkubwa wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuunga mkono na kuvutiwa na Utendaji Uliotukuka wa *Rais John Pombe Magufuli* na Serikali yake ya Awamu ya Tano na kuamua kujiunga na chama anacho kiongoza *Chama Cha Mapinduzi* na Jumuiya zake.

Imetolewa na
Uvccm Seneti Mkoa Dsm.View attachment 688746
Wana take comouflage tu ili mambo yaende fresh
 
Nilifikiria hao vijana tutawona hapo wakipokea kadi ili ilete maana au jamaa anajitafutia kiki kwa mgongo wa wanachuo
 
Back
Top Bottom