Wasomari

Wasomari

Crevo

New Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Hivi selikali yetu ina taalifa na hawa wasomali wanaozidi kuingia hapa inchini? Maana huku kwa Azizi Ali wamejaa kibao na wana zidi kuongezeka, kwa mwendo huu baada ya miaka michache ijayo kutaitwa kwa wa somali na sio Azizi Ali maana nyumba za wenyeji wana nunua wao wenyeji wanaondoka. Lisipo angaliwa hili lita sumbua baadae.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mkuu me mbona nackia hayo maeneo ya Kwa Aziz Ally tayar Jamaa wana mtaa wao unaitwa "Kwawasomari"? Au ndo wanataka wapate na Wilaya yao tena?
 
Kwani kule LUDEWA walikopewa maelufu ya hekari na Mkuru ili waanzishe makazi wamepakataa?
 
Hivi selikali yetu ina taalifa na hawa wasomali wanaozidi kuingia hapa inchini? Maana huku kwa Azizi Ali wamejaa kibao na wana zidi kuongezeka, kwa mwendo huu baada ya miaka michache ijayo kutaitwa kwa wa somali na sio Azizi Ali maana nyumba za wenyeji wana nunua wao wenyeji wanaondoka. Lisipo angaliwa hili lita sumbua baadae.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums

nikweli ulichosema wamejazana na wazidi kuongezeka kila siku.sasa hivi wanaishi mpaka kwenye fensi ya kikosi cha jeshi Twalipo camp pale karibu na kanisa la FULL PETECOST CHURCH OF TANZANIA KURASINI kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa nchi yetu.mgeni anaishi kinyemela mpaka kwenye maeneo ya jirani na makambi ya jeshi anaweza akatumiwa kupeleleza jeshi letu.na hawa wasomali wengi wao ni askari jeshi waasi wanaweza kutumiwa hata na al-shabab.Siwafichi hawa watu watakuja kuiliza nchi hii tusiwachekee, serikali ichukuwe hatua mapema kweupeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom