Kutoka Somalia mpaka Kenya

Arbert

Member
Dec 26, 2016
15
11
KUTOKA SOMALIA MBAKA KENYA SEHEMU YA 1

Tumeshuhudia nchi ya Kenya ikikumbwa na mashambulio ya kigaid kutoka katika kikundi hatari barani Africa alshabab kutoka nchini Somalia je ni nini chanzo cha alshabab kutekeleza matukio ya kigaidi nchini Kenya ungana na mimi ili kujua zaid .

Imepita takriban miaka ishirini na nne na zaidi baada ya wasomali kumngoa rais Mohamed said,somalia nitaifa ambalo hadi sasa lipo chini ya jeshi la muungano wa afrika AMISOM mwanzon kabla ya amisom kuingia somalia marekan walijaribu kuingia ili kuilejesha amani nchini humo
clip_image001.gif
lakini walijikuta wakishuhudia mauaji ya kutisha dhidi ya wanajesh wao 18 na miili yao kuburuzwa katika jiji la Mogadishu na wanajeshi wengine 84 kujeruhiwa dhidi ya vikundi vya kihalifu nchini somalia march 1994 marekan ilisalimu amli na kuondoka somalia apo ndipo kundi adhimu la alshabab
clip_image002.jpg
lilipo anza kisikika kwenye masikio ya watu baran afrika na duniani kote.

Baada ya miaka michache kupita alshabab walianza kutekereza mashambulizi na utekaji nyala wa watu na kuhalibu mali zao nchini Kenya ndipo hapo serikali ya Kenya ikaamua kupeleka jeshi lao kukabiliana na kundi hili hatali la alshabab na kikosi cha ATPU(ant terorisim unit) kiliundwa mwaka 2004. Kuingia kwa jeshi la Kenya nchini Somalia kulianzisha uhasama kati ya alshabab na nchi ya Kenya kwa kile walichodai ni uvamizi na alshabab iliapa kulipa kisas kwa walicho kifanya wanajeshi wa Kenya vita ambayo ilisababisha kuuwawa kwa wanajeshi wa Kenya 27 na makumi ya wanamgambo wa alshabab kuuwawa mipango zaid iliendelea zidi ya alshabab na huku marekan,wingereza na islael wakifadhili kwa kutoa silaha na vifaa mbalimbali. usiku na mchana mawindo dhidi ya alshabab yalizidishwa na huku nchini Kenya mashambulizi na mauaji yalianza kutekelezwa maeneo mbali mbali ikiwemo ghalisa ,Mombasa na Nairobi .

Julai 15 alshabab walivamia na kuwaua kinyama wakenya 94 katika maeneo ya mpeketoni,hindi,witu gamba na pandanguo katika mauaji hayo alshabab wali tekeleza na kuondoka pasipo hata na majibizano kutoka kwa serikali ya Kenya kazi ya alshabab ilikua ni kuua watu na kuwaambia wengine tutaendelea kufanya hivi mbaka pale raisi wa kenya atakapo toa jeshi lake nchini Somalia.

Licha ya maonyo ya mala kwa mala serikali haikutaka kuamini kwamba matikio haya hutekelezwa na alshabab bali wanasiasa walianza kutupiana lawama kwamba haya mauwaji yanatekelezwa na chuki za kisiasa na kikabila na lawama nyingi wakimtupia rais uhuru kenyata serikali iliendelea kuwafanya wakenya kuamini ivyo uku wakipuuzia maonyo waliopewa na wanamgambo wa alshabab huku selikali ikiendelea kutafuta ni nani anaetekeleza haya mauaji kituo cha polisi cha gamba kilivamiwa huku sergeant wa polisi bonifas ngale na watu wengine nane wali uwawa kwa kupigwa risasi sargeant ngale alisalimu amri baada ya lisasi zake arubaini kumuishia kwenye mapambano dhidi ya wanamgambo hao uku hayo yakijili hindi nako kulivamiwa watu wali uwawa kwa mapanga na risas makamu wa rais William ruto alifika ili kushuhudia kwa macho yake

William luto aliwakikishia wananchi kwamba masaa 48 watu waliotekeleza mauaji hayo wakamatwe wakiwa hai au wamekufa lakini hapakupatukana hata mshukiwa mmoja baada ya maswahibu haya serikariilituma asasi zote zakiusalama katika maeneo yote yalio asilika kikosi cha kupambana na ugaidi ATPU pia kiliwasili kuonyesha kwamba kuna ugaidi ndaniyake

SEHEMU YA PILI ITAENDELEA SOON
KUTOKA SOMALIA MBAKA KENYA 2

Baada ya serikali ya Kenya na vikosi vyake vya usalama kuendelea kushikilia msimamo wao kwamba mauaji hayo yalikua yanatekelezwa na viongoz wa siasa nchini humo alshabab waliendelea na mipango yao zidi ya Kenya baada ya vikosi vyote vya usalama kuingia lamu wakazi walianza kujiona wapo salama makamu wa rais aliagiza kamishna wa kaunt ya lamu kuandaa mpango wa kuwashika wausika wa mauaji hayo popote walipo ilikua ni vigumu kidogo kwakua bado ilikua hakuna ushaidi kamili ulioonyesha kwamba walikua alshabab lakini baazi ya maafsa wa usalama walizid kushikilia kua wanasiasa wanausika na mauaji hayo na sio alshabab .Kilomita 15 kutoka witu eneo la pandangua alshabab walivamia mnamo majila ya saa tatu usiku watu wakiwa namilizia swala katika mwezi wa ramadhani msikiti ulivamiwa na kuwaweka chini ya ulinzi watuwote na kuwadhibit watu wenye silaha kabla ya kuondoka wana alshabab walivamia hospital na kuchukua madawa baada ya kukamilisha uvamizi huo walipotelea kwenye msitu wa boni baada ya shambulizi hili selikali ya Kenya ilituma wanajeshi wa jeshi la Kenya KDF kuwasaka alshabab kwenye misitu ya boni Alshaabab walitoa tishio kua bado kijiji cha witu nacho lazima wataingia watu walizidi kukamatwa wakihisiwa kuusika na matukio hayo uku serikali ikiendelea kushikilia kwamba maswala ya ardhi ndo chanzo cha mauaji hayo, sheikh abuu musab wa alshabab alitangaza kupitia kituo kimoja cha redio nchini somalia kua alshabab ndio walio usika na matukio hayo yanayo tokea nchini kenya msako zidi ya washukiwa wa matukio hayo ulizid kudidimia uku serikali ya kenya ikizidi kuamini kua ardhi ndio tatizo siku chache badae gavana wa lamu alitiwa mbaloni katika mazungumzo yake alisema huenda alilengwa kwasababu ya msimamo wake mkali juu ya ardhi eneo la lamu, shuhuda mmoja alie ponea kifo alisema alshabab walikua hawaongelei kuusu ardi au shamba bali walikuwa wanataka serikari ya kenya waondoe jeshi lao nchini somalia baada ya majuma kadhaa serikali ilibadilisha mtazamo wake nakusema kwamba huenda wanao usika na matukio hayo huenda ni alshabab kilicho fuata ni wabunge kuimba wimbo huo huo wa je ni nan hasa anae husika na mauaji hayo je ni alshabab au ni wanasiasa , baada ya mda kidogo kupita alshabab walivamia basi la abilia la TAHMEED karibu na kituo cha polisi cha witu na watu wanne wakapoteza maisha ikiwemo afisa mmoja wa polisi ili lilikua ni pigo lingine kwa nchi ya kenya wilichosahau kuvumbua ni juu ya alshabab wanavyo ichinguza serikali na kupanga mipango yao kabla ya alshabab kuvamia lamu alshabab walianza kuwaua watu waliokua wanafanya kazi za kijasus nchin kenya hapa ndipo serikali ya kenya ikaanza kuwafatilia watu walio hisiwa kua ni wafuasi wa kikundi hicho cha kigaid na wengiwao walikua ni viongoz wa dini ya kiislamu serikali iliwachunguza na baazi ya viongoz hao wa dini ya kiislamu wali uwawa kinyama na wengine kupotelea kusiko julikana ilikua ni ngumu kuwapata wanachama wa alshabab na wengi waliisiwa ni wanachama baada ya kauli zao kuusu jehaad kisa cha kwanza kilikua ni cha said mohamed ambae alipiga risasi sita kichani na maafisa wapolisi ilielezwa kwamba said alikua anelekea msikitin mjian maafisa wa polisi walimkamata na kumludisha nyumbani haraka huku akiwa amefungwa pingu waliingia nae moja kwa moja mbaka chumbani kwake na kuuwawa kwa baada ya majuma kadhaa kupita lilifuata tikio la kupotea kwa Sheikh samir hashim ismail khan mnamo saa sita mchana april 10 2012 samil khan akiwa na muhamed kassim walivuka kwenye kivuko kuelekea Mombasa inasemeka na baada ya kuvuka kivukio hicho walikutana na maafisa wa ATPU na kutoweka kusiko julikana habari za kutoweka kwa wawili hao ziligonga vichwa vya habari ndugu wa wawili hao walianza kuwatafuta kwenye vituo vya polisi na vyumba vya kuhifadhia maiti polisi wa mjini Mombasa na viongozi wa ATPU walikana vijana wao kuusika kwenye swala hili wiki moja baadae mwili wa shekh samir khan ulipatikana ukiwa na majeraha makubwa kwenye sehemu zote za mwili kazi iliyo kua imebaki ni kumtafuta mtu ambaye walikua na wasiwasi nae kwa siku nyingi Shekh aboud logo shekh logo alijulikana kwa misimamo yake mikali dhidi ya jesh la Kenya nchini Somali shekh logo alianza halikati zake muongo mmoja uliopita akitokea katika visiwa vya siyu alitoa kauli nzito kuusu serikali ya Kenya,marekani,na viongozi wakiislam ambao alikua anaona wanaenda kinyume na dini yake ya kiislam kwa mujibu wa umoja wa mataifa ilisemekana kua logo alikua mwanachama wa kikund cha MIC kilicho tajwa na umoja wa mataifa kuwa na mausiano na alshabab mara kadhaa alikamatwa kwa kuusishwa kua na silaha lakini serikali ilikosa ushaid wa kumuweka hatiani shekh logo siku moja shekh logo akiwa yeye mkewake na mkwe wake inadaiwa barabara ya shanzo ilifungwa ilikua nigali yake tu ambayo ilikua barabaran posipo kugundua chochote kinacho endelea aliendelea kuendesha gari karibu na kituo cha polisi cha bambuli gali ya shekh logo ilishambuliwa kwa risasi ambazo risasi 17 kati ya risas 25 zilimpata logo na gali kupoteza uelekeo na kuingia mtaloni matukio ya viongozi hao hayakuishia hapo lilifuata tukio la kuuwawa kwa Sheikh abubakar makaburi inasemekana kijana mmoja aitwae shaban alikamatwa na kikosi cha ATPU nakutumia mbinu mbalimbali ili aweze kuyatambua majina yaliyo kwenye kalatasi na alisema hayatambui na moja kati ya majina hayo ni shekh makaburi walilipoti polisi na kuomba kuwekewa ulinzi kutokana na wasiwasi wa kupotezwa kama wenzake na amekua akipewa vitisho na vikosi vya usalama inasemekana sheikh makaburi ali uwawa nje ya maakama jijini Nairobi serikali ya Kenya inaendelea kupambana na kikundi hichi ijapokua ni kazi ngumu kuwatambua wanamgambo hawa wakiwa uraiani lakini serikali inazidi kutumia mbinu mbali mbali kuwa dhibiti wanamgambo hawa.
 
Tengeneza uongoo

Hao wanamgambo ni mpango wa kenya

Msomali aliopo somalia na nje ya somalia muulize kama wanawaunga mkono mkono hao watu ni jangaa kwao

Hio ni uwekezaji kama uwekezaji mwingine ulifanyika Congo na majeshi ya Ruanda

Ndg unajua Kenya wanalipwa pesa ngapi

Hao mgambo hawazidi 5;000

Wanajeshi nchi sita more 20 elfu

Fikiri njee ya box

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tengeneza uongoo

Hao wana mgamboo in mpango wa kenyaa

Msomali aliopo somalia na nje ya somalia muulize kama wanawaunga mkono mkono hao watu

Hio ni uwekezaji kama uwekezaji mwingine ulifanyika Congo na majeshi ya Ruanda

Ndg unajua Kenya wanalipwa pesa ngapi

Hao mgambo hawazidi 5;000

Wanajeshi nchi sita more 20 elfu

Fikiri njee ya box

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna anae sema kwamba wananchi wa somalia wanawkubali hawa alshabab nikama vikundi vingine vya kigaidi
 
Tanzania iwapatie waSomali wengi zaidi refugee status .Huo ndio undugu na pia kuwajibika katika mikataba ya UN refugee conventions.
 
Back
Top Bottom