Wasomali warudi bichi baada ya miaka mitatu ya dhiki ya Al-shabaab

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267
10.jpg

For the first time in over three years, Somalis venture out to their beaches on November 19, 2011showing a new sense of security since the militant group al-Shabaab, aligned with al-Qaeda, retreated from Mogadishu in August.

2.jpg

1.jpg
​
 
3.jpg

5.jpg

Residents at the beach in Mogadishu, Somali on November 19, 2011. Due to improved security in the war ton country, residents ventured out without fear of attacks.

4.jpg

6.jpg
​
 
bichi wavulana watupu wanawake wa kuhesabu, halafu wamekaa chini kama wafiwa
mambo bado....
 
Kwani al shababu walipiga watu marufuku kwenda bichi?

Walipiga marufuku kwenda beach, kuangalia soccer on TV, kucheza any kind of sports, kuuzwa kwa sambusa, no night clubs, no bars, etc
Wakiweza kuiteka bongo na kuanzisha mtindo huo wa maisha patakuwa patamu hapa mjini!!
 
Kheee!! Hivi hao al shababu ni watu wa aina gani? Mijitu mingine bana...
 
Walipiga marufuku kwenda beach, kuangalia soccer on TV, kucheza any kind of sports, kuuzwa kwa sambusa, no night clubs, no bars, etc
Wakiweza kuiteka bongo na kuanzisha mtindo huo wa maisha patakuwa patamu hapa mjini!!

Mpaka kupika bagia
 
Kumbe Wasomali nao wana hisia kama za wanadamu
 
3.jpg

5.jpg

Residents at the beach in Mogadishu, Somali on November 19, 2011. Due to improved security in the war ton country, residents ventured out without fear of attacks.

4.jpg

6.jpg
​

Hapo beach naona madume matupu sioni hata bikini moja
 
Hehe jamaa kweli wageni na beach. Wanaogelea na nguo zote!
 
Hakuna anayethubutu kuogelea hapo,wote wako maji ya ugoko wanakimbizana tu.
 
Back
Top Bottom