Wasomali walifikaje Tabora?

Wasomali walifikaje Tabora?

Asante kaka! kitufe cha like naona kimeenda likizo kikirejea nitakugongea.

Wanataka wakishindwa uchaguzi 2015 wasingizie wasomali... visingizio on production.... haya ni maadalizi tu
 
Yale machafuko ni sababu tu!
Wasomali wameingia US toka mwaka 1920!

Na wasomali wameingia England toka mwaka 1934!

Ingia library upekue uone mwenyewe!
Hao ni watoto wa BABA! Kila nchi wamefungua miradi Kedekede!
Nenda ndani ya MANHATTAN! Utakuta maduka yao yamejaa,
Njoo Piccadilly central london Biashara zao KIBAAAO!
Nenda Amsterdam utashangaa mwenyewe!
Norway na Denmark wanamiliki mpaka mashule.

Ingia France hasa mji wa Marseille,
Wanamiliki mitaa ya biashara. Mpka askari wa maeneo yale ni wasomali.

Hapana kuchezea hawa watu!
Wakija kuposa hapo home wala uskatae mkuu. Bora ya kuwa na shemeji muhangaikaji kuliko wale wachaga walevi.

Nakubali mkuu! Wasomali ni wachakalikaji kutafuta popote.
Hakika nchi yao ikipata amani na utulivu,jamaa wataifanyia makubwa. Maana wale wote wasomi na wafanyabiashara watarudi kujenga nchi. Waache kupigana,waungane wawe kitu kimoja kwa maslahi ya vizazi vyao.
 
Na kweli ubaguzi mbaya kwa hiyo anaezaliwa hapa kuingia bungeni ni lazima awe na kabila la hapa Tanzania hujui kuwa waziri wa kwanza wa fedha alikuwa ana asili ya India

Huyo hajui tumeshakuwa na Waziri wa Ulinzi ana asili ya Kisomali, tumeshakuwa na Waziri Mkuu ana asili ya ki Oman, tumeshakuwa na mawaziri wana asili ya Kizungu na bado tunao wengi tu.

Hajui pia kuwa Nyerere mwenyewe ana asili ya Kirwanda.
 
Huyo hajui tumeshakuwa na Waziri wa Ulinzi ana asili ya Kisomali, tumeshakuwa na Waziri Mkuu ana asili ya ki Oman, tumeshakuwa na mawaziri wana asili ya Kizungu na bado tunao wengi tu.

Hajui pia kuwa Nyerere mwenyewe ana asili ya Kirwanda.
Dunia imebadilika sana. Marekani rais ni mtu mwenye asili ya kenya moja kwa moja kupitia kwa baba yake na itali nchi ambayo ina ubaguzi sana kuna waziri wa kiafrika [mwana mama] Wakati wenzenu wanakimbia nyinyi mnapaswa kupaa ili kuwafikia na kuwapita. siasa za jikoni hata kina mama wanazikataa kwani zimepitwa na wakati
 
Good point na ni wananchi wasiobaguliwa kama hapa

.hahahaha!...hilo ulilosema hapo mkuu ni uongo jamani....rejelea historia ya Wazigua huko Somalia....hata wengi leo hii wanatoroka huku wakipewa hifadhi Tanganyika.
 
Nyie ni watu mliochanganya damu!
Wakishumundu wanywa kinyesi hawawezi kuwa na asili na Ardhii hii nzuri.

Rudini kwa baba zenu rwanda, wahutu wakubwa nyie!


Dadadeki.wahed, zubbu la khmaru l uuda!

Jamani mkuu maneno makali haya ..jamani ....khaaa!
 
Na kweli ubaguzi mbaya kwa hiyo anaezaliwa hapa kuingia bungeni ni lazima awe na kabila la hapa Tanzania hujui kuwa waziri wa kwanza wa fedha alikuwa ana asili ya India


yawezekana tulikuwa na uhitaji kwa kipindi hicho; wadhani bado kwa hali ya sasa bado tuendelee na hii hali?
Wala si ubaguzi, watanzania walioko huko nje wanapata nafasi kama hizo?
 
yawezekana tulikuwa na uhitaji kwa kipindi hicho; wadhani bado kwa hali ya sasa bado tuendelee na hii hali?
Wala si ubaguzi, watanzania walioko huko nje wanapata nafasi kama hizo?

Kama wamezaliwa huko na ni wasomi watapata tu wala hauna tofauti na wengine, na kuwa na watu tofauti ni vizuri zaidi nenda Central London (china town) mpaka polisi ni wachina you know why nenda kasoma utajua. Hujui kuwa sarcorzy ni myahudi? Ukweli ni kwamba hakuna nchi duniani inajitegemea peke yake bila kuwa na watu wa mataifa mengine, msikurupuke soma ujue zaidi
 
kwa roho mbaya wasomali balaa... na hilo kabila lenu,Nani ambaye hajui............

Wasomali wamekuwa wachache moshi kwa sababu nyie wanywa vinyesi mna roho korosho sana.
Wasomali waneleta faida kubwa mno ktk nchi yetu. Lkn wachaga hasa wa kigalatia zaidi ya ubadhilifu hakuna cha ziada.

Meno meusi nuksi sana.
 
mkoa wa tabora una wananchi wengi wenye asili ya somalia. wamefikaje tabora isiyo hata upande wa kuelekea somalia?
Mkuu una utani na Rage? ha ha ha

Mimi nafikiri ukarimuwe wetu sisi wanyamwezi mara nyingine unatuponza!! ukarimu huu ni wa asili tuliopewa na mwenyezi Mungu.
 
Miaka 3000 iliyopita walikuwa hapa Tanzania, na kwa huko Tabora walifika na wajerumani wakiwa askari baadae wakawa wafanya biashara wakubwa wakiwahudumia wazungu kama chakula,

Wakati huo hata Wajerumani hawakuwepo!
 
Back
Top Bottom