Wasomali wamevunja rekodi ya kuwa stow-away,,wazamiaji wakubwa duniani!! Kuna dogo alizamia ndege kwenye wheel holes/vishimo vinavyoingiza matairi ya ndege.
Mkuu kwani unatumia simu kuandika? maana ulichoandika ni point lakini zimekosa mifupa na nyama! Funguka kaka, weka na reference tujikumbushe bana.
Kuna Wazigua wengi sana Somalia.
nadhani watu hawa wana tabia ya kutangulizana na baadaye wengine kufuata, tunayashuhudia magari yanayokamatwa kwa sasa wakielekea South Africa kama ushahidi wa kufuata ndugu zao waliotangulia huko. Nchi yetu tunawaamini kwa haraka sana wageni na hata pengine hatuna screening za kutosha, kama tuna hadi wabunge wa aina hiyo, tuone jinsi ambavyo tunastahili wote kulaumiwa.
Waliwafuata ndugu zao ambao walifika salama na wakawaita kuwa huku kuna neema kuuubwa nao wakaifuata! na kwa palivyo kati ya nchi mara chache sana wanafuatiliwa ukilinganisha na mipakani
Nani kasema hawakubaguliwa?Good point na ni wananchi wasiobaguliwa kama hapa
Nani kasema hawakubaguliwa?
Miaka 3000 iliyopita walikuwa hapa Tanzania, na kwa huko Tabora walifika na wajerumani wakiwa askari baadae wakawa wafanya biashara wakubwa wakiwahudumia wazungu kama chakula, na nyama general merchants, wengi wao walipewa British nationalities na wakapelekwa Burma na nchi nyingine kupigana Vita vya pili, usishangae Tabora walianza kutembea nchi nyingi duniani na kufanya biashara aina nyingi wakati wengine wakiwa wanatembea uchi, kuhusu suala la wasomali kuwepo serikalini pia alikuwepo mkuu wa polisi ingawa hakuna wengi kwenye siasa lakini walichangia mchango mkubwa wakati wa kutafuta Uhuru
Good point na ni wananchi wasiobaguliwa kama hapa
Acha uongo kijana hakuna historia ya Tanganyika iliyosahihi kabla ya ukoloni, nachojua mimi wasomali walikuja Tanzania kama wakimbizi kitokana na mauji waliyokuwa wanafanyiwa na serikali ya kikoloni ya kiingereza na baadaye Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa anawaua sana wasomali haswa maeneo ya Garisa, Mandera nk na ndo maana huko hakuna huduma nzuri za jamii ingawa wote ni Wakenya
Ungezungumzia miaka ya nyuma kabla na baada ya Uhuru kama miaka 30 ningeelewa kwani walikuwa wasomali wengi sana ambao wanajulikana mpaka leo hata late pres Nyerere alikuwa anawajua kwani walimsaidia sana kupata Uhuru lakini wazee hao wote ni marehemu sasa na waliowaacha wengi wamehama nchi sijui tatizo liko kisiasa zaidi au maana sielewi kabisa mantiki ya maneno yako,sorry hii ni kisa na mkasa
We umefika huko maana najua wengi wana kazi za maana huko na maisha mazuri tu
Kuna Wazigua wengi sana Somalia.
Unasema "nnachojua mimi"!
Kwani wewe umekuwa nani!?
Kaa mkao wa kula usimeshwe! Bata always haachi kuhara ovyo!
Mkuu dunia nzima kwa sasa inawasomali,kutoka Africa mpaka Europe.
Wasomali wamekuwa wakimbizi na wazamiaji kwa nchi nyingi toka machafuko nchini mwao.
Hapa Tanzania tumeshuhudia wakivushwa katika malori kwa mamia.
Wasomali kwa maelfu wanakimbia kwao kupitia Eritrea-misri- lampedusa-Italy kisha ulaya na scandinavia.
Mantiki yangu ni kuwa hawa jamaa ni mafundi wa kupenya kila sehemu kutafuta hifadhi kufuatia vita huko kwao.
Hujaelewa nini??
Acha uongo kijana hakuna historia ya Tanganyika iliyosahihi kabla ya ukoloni, nachojua mimi wasomali walikuja Tanzania kama wakimbizi kitokana na mauji waliyokuwa wanafanyiwa na serikali ya kikoloni ya kiingereza na baadaye Rais wa kwanza wa Kenya alikuwa anawaua sana wasomali haswa maeneo ya Garisa, Mandera nk na ndo maana huko hakuna huduma nzuri za jamii ingawa wote ni Wakenya
Hakuna historia ya miaka 3000 iliyopita hapa Tanganyika
Haya maneno unatoa wapi??
Na hio tanganyika mbona imeshakufa toka 1960s!?
Leo kwa mujibu wa historia tuna records za miaka 5000 iliopita! Tatizo ni kuwa sisi wabantu hatujali historia zetu!
We una habari kuwa wachaga wazanaki wakurya wamasai na makabila mengine km 18 hivi HAWANA ASILI YA TANZANIA?