WASOMALI East Afrika

WASOMALI East Afrika

MkuuXyz

Senior Member
Joined
Jun 18, 2025
Posts
161
Reaction score
269
Wadau, Mnasemaje kuhusu Wasomali na dharau zao towards locals, Kenya, Uganda, Tanzania, all over EA, hawataki kujifunza lugha ya Kiswahili, no Intergration ya aina yoyote, hawalipi kodi za biashara zao, wanazaliana kama Sungura, na hawana nia njema kwa taifa lolote linalowapokea,
hata huko Ulaya, Amerika, Australia watu wamechoka na Wasomali, na hivi sasa wanafanya jitihada kuchua bunge la Kenya na hatimaye Urais,

Sasa nchi yao hivi sasa si haina vita, si tuwarudishe kwao jamani,
Na mimi kinachonikera kabisa ni kwamba, Wasomali wanatamba na kuongea wazi wazi kuwa wao siyo Waafrika bari Waarabu.
Changieni hoja zenu katika hili ndungu zangu.
 
Warudi kwao!
 
Wasomali wanachekesha. Msomali akioa mwanamke ambaye si msomali mwenzie, wenzake wanamtenga
 
Wadau, Mnasemaje kuhusu Wasomali na dharau zao towards locals, Kenya, Uganda, Tanzania, all over EA, hawataki kujifunza lugha ya Kiswahili, no Intergration ya aina yoyote, hawalipi kodi za biashara zao, wanazaliana kama Sungura, na hawana nia njema kwa taifa lolote linalowapokea,
hata huko Ulaya, Amerika, Australia watu wamechoka na Wasomali, na hivi sasa wanafanya jitihada kuchua bunge la Kenya na hatimaye Urais,
Sasa nchi yao hivi sasa si haina vita, si tuwarudishe kwao jamani,
Na mimi kinachonikera kabisa ni kwamba, Wasomali wanatamba na kuongea wazi wazi kuwa wao siyo Waafrika bari Waarabu.
Changieni hoja zenu katika hili ndungu zangu.
Sasa ukiwarudisha kwao na wewe ukarudishwa kwenu, na hao walio kurudisha kwenu wakarudishwa makwao nani atabaki hapa ni wazo huru tu..........tijifunze kuvimiliana na kustahimiliana wa Somali na wa tusi wa Rwanda hawana tofauti kubwa kwenye tabia zao za ubaguzi na kuua "host" wao ila tume ishi nao wanyarwanda mpaka leo hivo hivo na roho zao mbaya.
 
Jamii ya kitanzania imelelewa kulalamika hovyo kwakila jambo sijui hii hulka tumeitoa wapi?
Amka wewe, tazama hata nchi zilizoendelea zinazungumza suala la wageni ambao hawana michango kwa nchi zao, watu ambao hawachukui hatua zozote to intergrate na culture ya host nation. Hapa tunachangia hoja, hatulalamiki tu.
 
Nchi yetu Tanzania ni primitive sanaa likija suala la ku-accommodate jamii za kigeni, wanataka wafanane ki utamadini, Kenya wa Somali wana wilaya wa bunge na viongozi, wala wa Kenya hawana shida nao, Uganda wa somali wana sehemu yao inaitwa Kisenyi wapo wengi, kuna Wa Kongo, kuna Sudanese. na Waganda hawana shida nao kama wana tii saheria za nchi na wanashiriki uchumi wa nchi,......ila Tanzania sasa kiongozi moja wa kisomalia wa mpira wa somali wote wamejumuisha, eti wa ondoke waende wapi wakati wamezaliwa hapa?
 
Warudi kwao!
East Africa ndio kwao na sisi ndio wavamizi,

Wasomali na makabila mbalimbali ya Ethiopia, Eritrea etc ndio natives wa Africa Mashariki.

Wabantu, waarabu, Wahindi, Wairan etc hawa wamekuja baadae.

Kasome historia ya Raphta, ambayo ni empire ya Africa Mashariki karne ya 1 kwanza.

Makabila ambayo yana asili ya Huko Ethiopia na Somalia kama vile Wairqw, alagawa, Burungi na Gorowa ndio Yalikua yakiishi East of Africa
 
Wasomali wanalipa kodi na ni wafanyabiashara wazuri sana pale eastleigh wana mitaji mikubwa sana katembee uone BBS mall, last year nilikutana na msomali pale Jeddah corniche amezaliwa marekani na anaongea American English, ni watu wapambanaji na wanatoka sana kutafuta huko duniani ila wanatunza tamaduni zao.

Ubaguzi hata sisi tunao mkuu Ponjoro wa Kinondoni amedhalilishwa sana wiki mbili zilizopita, muhimu tuchangamane na jamii zetu ukishaenda kwa watu kubali kuonekana low profile.
 
East Africa ndio kwao na sisi ndio wavamizi,

Wasomali na makabila mbalimbali ya Ethiopia, Eritrea etc ndio natives wa Africa Mashariki.

Wabantu, waarabu, Wahindi, Wairan etc hawa wamekuja baadae.

Kasome historia ya Raphta, ambayo ni empire ya Africa Mashariki karne ya 1 kwanza.

Makabila ambayo yana asili ya Huko Ethiopia na Somalia kama vile Wairqw, alagawa, Burungi na Gorowa ndio Yalikua yakiishi East of Africa
Hahhaah nashukuru mkuu kwa kutuinua sisi wenye damu ya cushitic people, hata kama hatujajenga kama kila mwana jf ila kumbe hapa east africa ndio kwetu.
 
Back
Top Bottom