Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,518
- 8,967
Chuki na ubaguzi unauona kwa wasomali kiuhalisia vipo kwako. Mapungufu na madhaifu yao unayoyaona yapo kwako na kuakisi taswira yako halisi.
Tena huyu haamini kabisa kama kuna mbantu yeyote mwenye akili.Twende taratibu:-
1.Rage aliyeiita Ile timu ni..........
2.Karia aliiambia Ile timu ilashiriki mashindano ya,..............
3.ENg Hersi Said alisema mashabiki wa timu yake Wala miho,..............
4.Yule Waziri wa Chakula ni balaa Kila mtu anamuona Mbuzi.................
Wasomali hawana pa kwenda ni wabaguzi kwa asili yao,hata huko kwao Somalia wanabaguana.Wanapojiita waarabu ni Ile Hali ya kubeba hulka za kiarabu.
Mji huu wa ustaarabu na utajiri wa kale kabisa unaaminika kuwa katika delta ya mto rufiji, mjii ulikuja kuzama kutokana na kupanda kwa kina cha maji ya bahari ya hindi iliyokuja kumeza delta hii muhimu yenye mji ya kale zaidi katika mwambao wa bahari ya hindi.Raphta ipo kwenye Vitabu vya Eritrea, has nothing to do with Wazungu,
Pia siku hizi una Dna na genetics studies kibao kuprove hivi vitu. Kila mtu humu anajua asili yao ni wapi.
Hahaahh hapo kwenye huo mfano simo mkuu.Na wa bantu na mapua yao kama baba leo warudi afrika magharibi
Kwanza hatuendani tamaduni tufanye yale tunayoyaweza mtu anataka binti wa kisomali hela anayo ya kumtunza?! mtu anataka achukue binti wa watu halafu aanze kumwambia kuna issue naiskilizia.Kiongozi wetu hususani Nyerere alisha uua utamaduni wa mtanganyika na asili zetu, wanakuja kutushikisha kiswahili lugha ambao 60% ni kiaarabu, sasa tumeanza kuonea watu wenye tamaduni zao wivu loh, wewe unataka uoe Msomali ili iweje? Mbona pale waganda na Wa kenya wanaona kinyaa kuoa Wa Hindi wasomali au waarabu ni wachafu hawana nidhamu nk. jamii yako inakutenga, ni hapa Tanzania unakuta Myaha kuoa mu Hindi au Mchina anaona ni sifa, wakati kwa makabila mengine ni aibu
Kinachowasaidia ni kubebana wanasaidiana sana na wanafanya kazi kwa pamoja sisi tumejaa uchoyo na ubinafsi, mtu akipata tu connection ya kujua soko la mchicha wa jumla anajifanya Warren buffet tayari hata mwanae hamwambii akiumwa tu biashara imekufa.Kiukwel wanajitahidi sana kwenye biashara na kufungua makampuni wapo vizuri
Ni kweli unavyosema 💯💯💯Kinachowasaidia ni kubebana wanasaidiana sana na wanafanya kazi kwa pamoja sisi tumejaa uchoyo na ubinafsi, mtu akipata tu connection ya kujua soko la mchicha wa jumla anajifanya Warren buffet tayari hata mwanae hamwambii akiumwa tu biashara imekufa.
Hao wasomali wanaenda kuiteka kenya muda si mrefu nairobi wameshashika uchumi, na ukumbuke northern kenya wamejaa wao kwa population kubwa kule Wajir, Garbatula, garrisa, muyale, tana river n.k wamejaa wao na wa borana na ni native Kenyans na wanavuta ndugu zao kutoka somalia kwa maelfu kuja kenya.
Tuko pamoja.Ni kweli unavyosema 💯💯💯
Mitano tena ✊Wadau, Mnasemaje kuhusu Wasomali
Masikini kawaida yake ni kutafuta mchawiGrown ups hawawez kuwa kama unavyofanya wewe mkuu. Badilika,haitakupunguzia kitu kuwa thoughtful
Hizo dharau wanafanyia Kenya kwasababu wamesha watawala.Wadau, Mnasemaje kuhusu Wasomali na dharau zao towards locals, Kenya, Uganda, Tanzania, all over EA, hawataki kujifunza lugha ya Kiswahili, no Intergration ya aina yoyote, hawalipi kodi za biashara zao, wanazaliana kama Sungura, na hawana nia njema kwa taifa lolote linalowapokea,
hata huko Ulaya, Amerika, Australia watu wamechoka na Wasomali, na hivi sasa wanafanya jitihada kuchua bunge la Kenya na hatimaye Urais,
Sasa nchi yao hivi sasa si haina vita, si tuwarudishe kwao jamani,
Na mimi kinachonikera kabisa ni kwamba, Wasomali wanatamba na kuongea wazi wazi kuwa wao siyo Waafrika bari Waarabu.
Changieni hoja zenu katika hili ndungu zangu.
Na lugha ya chuki ni sawaSasa lugha ya matusi ni ya nini, ? Nimetoa maoni yangu, wewe kama haukubaliani, unatakiwa kuchangia pointi zako ili uma ufaidike na mchango wako.
JIBU NI KUWA NA DARAJA 3 AU 5 ZA URAIA ZENYE SIFA TOFAUTI ...UNAKUTA MTU HATA LUGHA YA TAIFA AJUI VIZURI, UNAMPA URAIA WENYE HADHI SAWA NA WAZAWA WA ASILI "HUKO NI KUTENGENEZA HIGH LEVER STATE CAPTURE " hata hapa tanzania kuna Raia awakutakiwa hata kuruhusiwa kuwa wapiga kura au kuwa wanasiasa au kuwa wadhamini wa vyama vya siasa japo ni raia ...mfano rostam azizi..zungu ...na wengine wengi...kuna aina mbili za state captureWadau, Mnasemaje kuhusu Wasomali na dharau zao towards locals, Kenya, Uganda, Tanzania, all over EA, hawataki kujifunza lugha ya Kiswahili, no Intergration ya aina yoyote, hawalipi kodi za biashara zao, wanazaliana kama Sungura, na hawana nia njema kwa taifa lolote linalowapokea,
hata huko Ulaya, Amerika, Australia watu wamechoka na Wasomali, na hivi sasa wanafanya jitihada kuchua bunge la Kenya na hatimaye Urais,
Sasa nchi yao hivi sasa si haina vita, si tuwarudishe kwao jamani,
Na mimi kinachonikera kabisa ni kwamba, Wasomali wanatamba na kuongea wazi wazi kuwa wao siyo Waafrika bari Waarabu.
Changieni hoja zenu katika hili ndungu zangu.
Nimekuelewa mapua. ila ujue east africa si ya wa bantuMsomali tulia basi, hasira na matusi ya nini, ? Hapa tunachangia hoja tu kuhusu hizo tabia na staili zenu za kuishi nchi za nje ya nchi yenu.
Pumbavu zao, binti wa kisomali hali tembeleKwanza hatuendani tamaduni tufanye yale tunayoyaweza mtu anataka binti wa kisomali hela anayo ya kumtunza?! mtu anataka achukue binti wa watu halafu aanze kumwambia kuna issue naiskilizia.
Hapana, hakukua na need ya kutumia lugha tataMasikini kawaida yake ni kutafuta mchawi
Nibadilike ili niendane na chuki zake?