Wasirra: Tutatengeneza hati ya muungano ndani ya siku mbili(bungeni)

why

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
203
82
Wassira adai kuwa tayari dola inafanya mpango wa kutengeneza hati ya muungano ndani ya siku mbili na kuiwasilisha bungeni punde.
 
Kwani si tayari kuna ile yenye saini za mbili za mwalimu za kugushi?
 
dah! mbona mi sikumsikia akisema hivyo, alichokisema Steven kwamba hati ya muungano ipo na itawasili Dodoma ndani ya siku mbili

ye sio mjinga aseme hivyo kwamba watatengeneza hiyo hati...
 
Mimi nilimsikia - alikuwa kama anatishia vile! Eti - nakuhakikishia kwa niaba ya dola, hati zitawasilishwa ndani ya siku mbili hizi! Kwa nini humkuwasilisha siku zote hizo mpaka Lisu alipowachachafya ndio unakuja na vitisho hewa? Sasa mtu akikukwambia kuwa huna hizo hati ila unahitaji siku mbili ukagushi utasemaje?
 
Ukweli hati hiyo hai[o ndio mana walitoa toleo la kwanza kwa kutengeneza ikagundulika na wajumbe kuwa sio halali sasa wamesema wanaleta nyingine bila shaka ni kuitengeneza tena ili wabunge waridhike
 
Watu wsipotoshe nimemsikiliza tyson wasira wataiwasilisha hati ndani ya siku mbili wabunge watakuwa wameipata si kutengeneza
 
Mimi nilimsikia - alikuwa kama anatishia vile! Eti - nakuhakikishia kwa niaba ya dola, hati zitawasilishwa ndani ya siku mbili hizi! Kwa nini humkuwasilisha siku zote hizo mpaka Lisu alipowachachafya ndio unakuja na vitisho hewa? Sasa mtu akikukwambia kuwa huna hizo hati ila unahitaji siku mbili ukagushi utasemaje?
Ukweli ni kwamba hata ile ya kugushi ya mwanzo ni serikali ndio iliwasilisha bungeni sasa wajumbe wasubiri toleo la pili la kugushi pia
 
Watu wsipotoshe nimemsikiliza tyson wasira wataiwasilisha hati ndani ya siku mbili wabunge watakuwa wameipata si kutengeneza
kwani ile ya mwanzo nani aliwasilisha kama sio serikali? nyie acheni uzuzu hapa kwa nini mwanzo waligushi?
 
Ok kama ni wao waliwasilisha ile ya mwanzo na sasa Wasira anataka siku mbili awasilishe nyingine, je wamekubali kuwa ile waliyowasilisha mwanzo ilikuwa ya kugushi? Kama jibu ni ndio watu wawajibike kwanza!
 
Kwakifupi kauli hii inadhiirisha kuwa hati walioiwasilisha mwanzo ilikuwa ya kugushi. Sasa hii nyingine inatoka wapi??
 
Wassira adai kuwa tayari dola inafanya mpango wa kutengeneza hati ya muungano ndani ya siku mbili na kuiwasilisha bungeni punde.

Wanachokupinga wadau maneno uliyomuwekea Wassira as if ametamka hivyo. Umefanya kosa! Ungeyachukua kama alivyosema kisha uyatolee maoni sio unamnukuu sivyo!
 
Loooohh, tunataka yenye saini za viongozi wetu hawa wawili, na zionyeshe zimechapishwa mwaka 1964 kwa taipuwriter, saini za wino wa kuchovya, karatasi imeshachoka nk; siyo product ya kughushi toka China!!!

Union_Utiaji saini.jpg
 
Tangu wimbo wa hati ya muungano umeanza zimepita siku nyingi sana.
Kwani hati hii iko dunia nyingine?
Ina maana watanzania hawana hata copy moja mpaka wasubirishwe siku mbili?
 
Mimi nilimsikia - alikuwa kama anatishia vile! Eti - nakuhakikishia kwa niaba ya dola, hati zitawasilishwa ndani ya siku mbili hizi! Kwa nini humkuwasilisha siku zote hizo mpaka Lisu alipowachachafya ndio unakuja na vitisho hewa? Sasa mtu akikukwambia kuwa huna hizo hati ila unahitaji siku mbili ukagushi utasemaje?

Hpo ndio huwa tunapishana vyama vya ukawa lisu ni nani ? Kwani yy alishaongea na kuipa serkali masharti mangapi je walitekeleza. Hutuba mnayo hisifia matusi na kashfa ndio kipaumbele tu kamtusi nyerere hao hajui huyo ni kiongozi wetu wa taifa?
 
Back
Top Bottom