mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 193
Wadau wa pamba wamenipatia taarifa kuwa, moja ya kampuni iliyoingiza dawa za kuua wadudu wanaoharibu pamba na dawa hiyo kugundulika ni hafifu(Fake) inamilikiwa na aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula Bw. Stephen Wasira. Naingia kwa udani kupata facts hizo. nitarudi nazo
Mkuu ahsante kwa taarifa lakini anzia hapo kwenye maandisi mekundu kupata facts, ninavyojua huyu jamaa yuko wizara nyingine awamu hii. Labda enzi hizo alipokuwa waziri wa wizara uliyotaja.

Kwanini marafiki wote wa Kikwete ni watu wenye kashfa za wizi na uhujumu wa Uchumi wetu?? au yeye pia ni miongoni mwao!!

Ukisikia huu ndio Udaka..No Source, no Company Name..Hivi Dr. Slaa angemuacha huyu siku zote hizo Kweli..Wewe usifanye JF isije ikawa Dampo la UDAKU, TuLetee Facts kabla ya Yote!!
Kwanini marafiki wote wa Kikwete ni watu wenye kashfa za wizi na uhujumu wa Uchumi wetu?? au yeye pia ni miongoni mwao!!
Hakuna udaku wasira aliipora
Bodi yenye mamlaka ya dawa ipi na nani asambaze, alitoa waraka kuhamisha mamlaka hayo kwa maDC wasio na utaalam lengo kubwa ilikuwa kuvuna 8.5b za serikali kama ruzuku ya pembejeo 2009/10.
Arafat, kwani hujui? The guy was on the list of shame kati ya wale waliotajwa pale Mwembeyanga!!!! He is not clean and all the people around him are not clean either!!!!
Tiba