Sioni ugumu wa kuhandle distance relation kama kweli mmependana
Ni Kweli unachokisema. Upendo Wa Kweli ndio una seal kila kitu. Kama.Kweli.mnapendana why cheating? Tena long distance relationship ambaoina mapenzi ya Kweli ni matamu Kweli asikudanganye mtu . Asante.

Unakuwa unammiss sana,how do u feel unapomwona mpenzi wako uliyemmiss na hujamcheat
Yaani siwezi kuelezea hapa kwa uwazi ila inakuwa so sweet, healthy, more friendship na romantic. But sometimes it can get nasty kwenye wivu though na kumisiana sana. Only I can say communications is very high commanded to keep ball moving . Asante .
Wivu hapo ni noma,sometimes mnazingua but unaona bado
unamhitaji,mkiwa pamoja lazima mhadithiane mlivyovumilia
U sound like my girlfriend tusije tumekutana kwa Id tofauti
Mim ni mhanga wa long distance relationship na tunaish kama tunaonana tofaut iliyopo yupo far tu ila tunaonana via social netwoks na nimedumu kwenye hii long distance relationship kwa miaka miwil na nusu