Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Ninaposema kuishi muda mrefu namaanisha kuwa shuhuda wa kile binadamu anaweza kukufanyia, na haijalishi ni mke/me, kaka/dada, mzazi, mtoto au rafiki ndugu na jamaa.
Kuna watu wameishi maisha yao yote hawajawahi kujisikia kupendwa au kujaliwa, kila anayekuja kwake anataka kitu na ndicho kinachomleta fake smile, kila kitu fake akishapata anapotea.
Halafu mtu kama huyu siku moja anakuja kukutana na binadamu xyz na kujisikia kupendwa na kujaliwa labda kwa mara ya kwanza katika maisha yake, labda kwa mara ya kwanza anapata furaha katika maisha yake, labda kwa mara ya kwanza anajisikia raha kwenda nyumbani mapema kwa maana kuna mtu anayemsubiri ambaye yuko real and you feel it, man, asikudanganye mtu hiyo hali itakubadilisha ambaye hajapitia hawezi kukuelewa atakuhukumu lkn kila binadamu anahitaji upendo, kila binadamu anapenda kujisikia kuthaminiwa na siyo kuchukuliwa tu kama kitu na kutumiwa, nawaelewa wanaowaachia Mali zote wale wanaowachagua hata kama siyo watoto, ndugu au hata mzazi wake.
Maisha ni Magumu sana wakati mwingine huwezi kuelewa kama haujalipitia, dont judge what you dont understand, ...