Wasiolewa hawajaishi kwa Muda mrefu Dunia hii (RIP) wote waliotangulia!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Ninaposema kuishi muda mrefu namaanisha kuwa shuhuda wa kile binadamu anaweza kukufanyia, na haijalishi ni mke/me, kaka/dada, mzazi, mtoto au rafiki ndugu na jamaa.

Kuna watu wameishi maisha yao yote hawajawahi kujisikia kupendwa au kujaliwa, kila anayekuja kwake anataka kitu na ndicho kinachomleta fake smile, kila kitu fake akishapata anapotea.

Halafu mtu kama huyu siku moja anakuja kukutana na binadamu xyz na kujisikia kupendwa na kujaliwa labda kwa mara ya kwanza katika maisha yake, labda kwa mara ya kwanza anapata furaha katika maisha yake, labda kwa mara ya kwanza anajisikia raha kwenda nyumbani mapema kwa maana kuna mtu anayemsubiri ambaye yuko real and you feel it, man, asikudanganye mtu hiyo hali itakubadilisha ambaye hajapitia hawezi kukuelewa atakuhukumu lkn kila binadamu anahitaji upendo, kila binadamu anapenda kujisikia kuthaminiwa na siyo kuchukuliwa tu kama kitu na kutumiwa, nawaelewa wanaowaachia Mali zote wale wanaowachagua hata kama siyo watoto, ndugu au hata mzazi wake.

Maisha ni Magumu sana wakati mwingine huwezi kuelewa kama haujalipitia, dont judge what you dont understand, ...
 
Panchito

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
6,435
2,000
oaitwa chakubi wanjiku
dj nipigie kibao cha yondo sister chochote, kiwafikie ndugu zangu waliopo namtumbo,,,,!!
 
agata edward

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
6,677
2,000
Ata juzi Simba walishinda japo kwa mbinde Yanga walitoa Droo ya pesa kumkabizi Mo alipie Azam Mango ili wote wanaotaka Kunywa Coca Cola walete Kreti na Chupa za Pepsi.

Ukielewa hapa basi bila shaka utamuelewa mtoa Mada na mada yake.

:D :D :D :D :D
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,613
2,000
Nadhani ni muktadha wa ojuegaba ndio unahatarisha nafasi ya hizo windows shopping lkn kwa vile majira ya winter ni tayari basi hapo upendo wa dhati ni lazima na kila kitu kinaenda sawa maana marejeo ngamani.
 
Alpha Blondy

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
283
500
Computer ikisumbua unaipiga Aunt ni dada yake baba wa taifa stars ni nyota ndogo zilizopewa azimio la Arusha moshi nauli ni bei gali za kwenda ubungo msewe
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
16,749
2,000
Hili ni jukwaa mchanganyiko....ukiingia jukwaa hili kusoma nyuzi ukiwa umechanganyikiwa...lazima utachanganya maana halisi ya mnyambulisho usiochanganya wa mleta mada.

Mleta mada kaeleweka kabisa.
 
Idiot Embicile

JF-Expert Member
Apr 30, 2019
952
1,000
Mleta maada nimekuelewa vizuri.

Wanaolewa sio mafara wamepitia mambo mengi ya kuumiza ndio maana wakaamua wajitulize na Balimi.

In many ways wanaona Bora kuwa na urafiki na konyagi tu sio binadamu.
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,597
2,000
Rubbish!
Ninaposema kuishi muda mrefu namaanisha kuwa shuhuda wa kile binadamu anaweza kukufanyia, na haijalishi ni mke/me, kaka/dada, mzazi, mtoto au rafiki ndugu na jamaa.

Kuna watu wameishi maisha yao yote hawajawahi kujisikia kupendwa au kujaliwa, kila anayekuja kwake anataka kitu na ndicho kinachomleta fake smile, kila kitu fake akishapata anapotea.

Halafu mtu kama huyu siku moja anakuja kukutana na binadamu xyz na kujisikia kupendwa na kujaliwa labda kwa mara ya kwanza katika maisha yake, labda kwa mara ya kwanza anapata furaha katika maisha yake, labda kwa mara ya kwanza anajisikia raha kwenda nyumbani mapema kwa maana kuna mtu anayemsubiri ambaye yuko real and you feel it, man, asikudanganye mtu hiyo hali itakubadilisha ambaye hajapitia hawezi kukuelewa atakuhukumu lkn kila binadamu anahitaji upendo, kila binadamu anapenda kujisikia kuthaminiwa na siyo kuchukuliwa tu kama kitu na kutumiwa, nawaelewa wanaowaachia Mali zote wale wanaowachagua hata kama siyo watoto, ndugu au hata mzazi wake.

Maisha ni Magumu sana wakati mwingine huwezi kuelewa kama haujalipitia, dont judge what you dont understand, ...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom