Wasiojulikana hawapo tena nchini

Wasiojulikana hawapo tena nchini

stujadiliane

Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
66
Reaction score
84
Ukakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens

Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
 
Ni kweli hawapo kwani mkuu wao yupo Moshi.
 
Kwa sababu hawajulikani hata uwepo wao huwa haujulikani so huwezi thibitisha uwepo au kutokuwepo kwao.
 
Ukakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens

Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
Mkuu ulijipa hofu ya bureee kabisa. Pole sana kwa kupenda sifa.
 
Ukakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens

Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
Tembelea mahabusu zetu uone vijana walivyofichwa huko bila mashtaka yoyote... Halafu mbinu zimebadilika siku hizi. Hakuna kuacha ushahidi
 
Kwa kawaida ukiwa unapenda majirani zako walie kila siku,kuna siku kilio cha majirani kitakufanya ulie maisha yako yote ushindwe kunyamaza.

Kila chenye mwanzo kina mwisho,hakuna kilichoumbwa kikaishi milele
 
Walio mshambulia Lissu hawajulikani. Wewe unasema Sirro amewatokomeza, jee hata wale walio mshambulia Lissu nao wametokomezwa? Amewajuaje kuwa ndio hao? Mbona anasema uchunguzi unaendelea tofauti na wewe unayetangazia watu kuwa hawapo tena. Acha kupotosha unless useme wale wa Lissu walitumwa na huyo unayesema katokomeza na kawaambia waache tuu kwa vile walishindwa kazi
 
Ukakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens

Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
Wapo hapa hapa pasipo julikana.Ukitaka kuwa ona fichua siri za mkulu nyembe
 
Ukakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens

Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
wemeenda nairobi
 
umeona wenzako wa ukonga Jana kitu wamefanywa na FFU
police akiuliwa wananchi ndo wauaji ila raia akiuliwa basi ni watu wasiojulikana
 
Walio mshambulia Lissu hawajulikani. Wewe unasema Sirro amewatokomeza, jee hata wale walio mshambulia Lissu nao wametokomezwa? Amewajuaje kuwa ndio hao? Mbona anasema uchunguzi unaendelea tofauti na wewe unayetangazia watu kuwa hawapo tena. Acha kupotosha unless useme wale wa Lissu walitumwa na huyo unayesema katokomeza na kawaambia waache tuu kwa vile walishindwa kazi
huyu mngese tyuu katumwa asubuhi kama alivotumwa yule mpambe wa sizonje amkataze mkalimani kutafsiri
 
Wapo bado wametaharuki, kwa kauli ya Lissu kuwa anawafahamu. NASAFIRI PENGINE NA ZILE KAULI ZA WASTAAFU ZILIZOTOLEWA MFURULIZO ZIMEWACHANGANYA WAMEJIKUTA WAKO PEKE YAO NA BWANA WAO
 
Back
Top Bottom