Wasiojulikana hawapo tena nchini

Wasiojulikana hawapo tena nchini

Huo ni uongo usio pimika kwa chochote duniani !.serikali ya ccm ingekua haiko tena duniani,tungeamini waliobatizwa na badiri ccm kwa jina la wasiojulikani,kweli wameondoka na serikali yao.uchunguzi huru tu ndo utakao tuhakikishia hili.na ccm mnaliogopa kama kuona mkojo wa mkwe wenu wa kike ! ccm hamuaminiki kwa lolote tena mbinguni na duniani.kaeni mkilitambua hili,na muweke moja kichwani,kwa faida yenu ya siku zijazo.
 
Back
Top Bottom