Wasio na uwezo ni lazima wajikombe.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasio na uwezo ni lazima wajikombe..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtoboasiri, Jul 30, 2011.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Uzoefu wangu kutokana na kufanya kazi sehemu mbali mbali umenionyesha kuwa watu "incompetent" ni hodari wa majungu na kujikomba. Na wakitokea kushika madaraka wewe unaejiamini kutokana na uwezo wako binafsi utaonekana tishio. Ili kulinda nafasi mtu "incompetent" lazima atapenda majungu na kuhakikisha anafanya kazi na "yes men/women".


  Ukimsikia mtu anatetea kila jambo - hata pale ukweli unapothibitisha tofauti na anachopigania - basi chances are ni incompetent. Anajua akipoteza alichonacho - kwa kujua kuwa kama si kubebwa asingekipata- basi atakwisha!
   
Loading...