B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
Serikali itaanza kumwaga ajira za kutosha kuanzia mwakani hadi July mwaka 2015, taarifa zilizopatikana kutoka serikalini ni kwamba kumekuwa na maneno maneno sana kuwa vijana ni bomu linalosubili kulipuka sasa kutokana na plan za serikali ni kwamba ajira ambazo zitatoka randomly ni za U-polisi, Jeshi, walimu, madaktali, wanasheria, maafisa kilimo nk. hii itakuwa ni kuwasahulisha vijana na ugumu wa kukaa mtaani bila kazi na kupata kura zao.
Kwa sasa takwimu za serikali zinaonyesha kuwa vijana wa vyuo vikuu wengi hawana ajira na wale waliomaliza kidato cha nne na kutobahatika kuendelea ni wengi sana kitu ambacho serikali inataka kukipunguza.
List ya watakaopata ajira ni ndefu lakini lengo si kumaliza tatizo bali kupunguza tu, ni katika hali hii Mgombea wa mmoja ataanza kusema kuwa nichagueni mimi niendeleze kazi iliyoanza kufanywa na mwenzangu!
source: mimi mwenyewe hapa wizarani.