Wasio na Ajira Kuanza Kucheka 2014-2015

Wasio na Ajira Kuanza Kucheka 2014-2015

Kwa upande wangu wala sitetereki na porojo hizi,mipango,mikakati tele kila siku serikali inaibua ama mipya au wameboresha lakini utekelezaji wake ni ziro ziro,
 
Hamna sera nyinyi mshindwe kutekeleza kauli mbiu zenu ijekuwa ajira?,tulishachoshwa na ahadi za uongo kama ni tatizo la ajira halijaanza jana.
 
Unaizungumzia serikali hii hii au Mungu ataishusha nyingine kutoka Mbinguni? Unaimba wimbo wa kale ambao watu wamechoka kuusikiliza na unaboa.
 
Back
Top Bottom