Wengi mmmebakia kuandika humu JF kuhusu Lowasa ni fisadi lakini serikali wanamwogopa fisadi mpaka wameshindwa kumchukulia hatua? Ile mahakama ya mafisadi ilianzwa kwa ajili ya nini?tatizo la Lowassa ni ufisadi tu lakini kila sifa nzuri yupo nayo ila mwizi
Kwani kuwasiliana ni kosa wekeni ushahidi vinginevyo tutaamini huu ni utawala wa visasi na Mungu atashusha hasira yake.Mnataka mpaka siri za Sofia na Lowasa ziwekwe hadharani? Itoshe tu kujua Sofia na Lowasa waliendelea kuwasiliana hata baada ya 23th July 2015, kupanga mipango ya kuwasaidia wagombea wa ukawa kwenye uchaguzi mkuu.
Unadhani Lowassa ni wa mchezo mchezo, mtu mzima anatishika na kivuli hadi anabadili katiba, kwenye utawala wake hiki kivuli kitamtesa sana kila leo atakuwa akifukuza wanachama kwa kisingizio cha team Lowassa hadi abaki peke yake.Ndiyo kalizuia fisadi lako sasa, kama hutaki kunywa sumu, lkn
Raisi wa JMTZ ni Pombe Magufuli (PhD)!
Unadhani Lowassa ni wa mchezo mchezo, mtu mzima anatishika na kivuli hadi anabadili katiba, kwenye utawala wake hiki kivuli kitamtesa sana kila leo atakuwa akifukuza wanachama kwa kisingizio cha team Lowassa hadi abaki peke yake.
Huwezi kujenga nchi kwa kulipiza visasi, kwa wafanyakazi wa umma visasi, wafanyabiashara visasi, wapinzani visasi, kwenye chama chake visasi, lini utafikiria viwanda.Tatizo Tanzania kuna raisi wa ajabu hajawahi kutokea duniani badala ya kuwaza namna ya kutimiza ilani yake na kuwaletea wananchi maendeleo yeye anawaza mambo ya hovyo kulipiza kisasi mambo ambayo yameshapita .
Umeelewa mada?tatizo la Lowassa ni ufisadi tu lakini kila sifa nzuri yupo nayo ila mwizi
Huyu hajui anachokifanya tuendelea kufurahi kuona anavyoibomoa CCMAsifikiri akipandikiza visasi yeye atabaki salama, visasi huwa vinajengeka vizazi kwa vizazi.
Kwani Chadema ni kitengo cha mahakama kwamba kikisema fulani ni fisadi basi inakuwa hukumu, mpelekeni mahakamani.Tatizo la Lowasa yupo kwenye list of shame ya chadema.
Sawa wao walimpigia chapuo kwa hasira ya mkuu wa kambi yao kuenguliwa.Wakati wa kura za maoni 2015 kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM ni kambi mbili tu zilizokuwa zinapewa nafasi kubwa ambazo ni Kambi ya Lowassa na Kambi ya Membe iliyokuwa inapigiwa upatu na rais Kikwete kwa wakati huo.
Baada ya jina la Lowassa kukatwa Team Lowassa walijua aliyesababisha yote hayo ni Mkiti JK ambaye alikuwa Team Membe. Kwa ghadhabu Team Lowassa wakasema bora tukose wote wakaamua kura zao kumpatia John P Magufuli na Membe akashika mkia akifuatiwa na January.
Ndiyo kusema waliomfanya Magufuli kupata kura nyingi walikuwa ni Team Lowassa akina Sofia Simba ambao leo anawaona hawana thamani yeyote, shukrani ya punda ni mateke.
Akumbuke hawa ndio waliomuweka hapo, bila wao leo hii asingekuwa na nguvu aliyonayo leo ya kuwafukuza kwenye chama ambacho wengine amewakuta ndani.
Naifananisha hali ya fukuza fukuza inayotokea ndani ya CCM sawa na picha ya January ya mtu anayetumia mbao za ngazi kuoka moto akisahau kuna siku atazihitaji kutokea nje ya shimo.
View attachment 480565
Bila JPM mmasai angekuwa rais, amlaani jpm kwa kukubalika na watz wote.hana shukrani kama tumbo
Hii ni propaganda nyeusi.Mnataka mpaka siri za Sofia na Lowasa ziwekwe hadharani? Itoshe tu kujua Sofia na Lowasa waliendelea kuwasiliana hata baada ya 23th July 2015, kupanga mipango ya kuwasaidia wagombea wa ukawa kwenye uchaguzi mkuu.
Wakati mnamfukuza Zitto kwenye chadema mliangalia aliifanyia mangapi hadi hapo ilipofikia, wakati mnamshambulia Dr Slaa mliangalia aliyafanya kuifikisha chadema ilipo. Acheni CCM na JPM wafanye mambo yao nendeni mkakijenge chama chenu . Ya CCM hayawahusu. Mwanaccm gani aliwahi kuhoji kwanini Zitto amefukuzwa. Kinachowafanya nyie kuhoji wanapofukuza wao ni nini?
Mafisiem mmesharudi? nasikia hamkatani mikia tena bali mnakulana vichwa kabisa.Nyumbu=mateja.
Uzi pumba kabisa huu.