Wasingekuwa kina Sofia Simba 'Team Lowassa' Magufuli asingekuwa rais

Hao timu Lowasa walishindwa nini kumsaidia awe rais
Kama una vyeti halisi nisome tena, nimesema bila team Lowassa kura za Magufuli kwenye kura za maoni zisingetosha.
 
Wakati wa kura za maoni 2015 kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM ni kambi mbili tu zilizokuwa zinapewa nafasi kubwa ambazo ni Kambi ya Lowassa na Kambi ya Membe iliyokuwa inapigiwa upatu na rais Kikwete kwa wakati huo.

Baada ya jina la Lowassa kukatwa Team Lowassa walijua aliyesababisha yote hayo ni Mkiti JK ambaye alikuwa Team Membe. Kwa ghadhabu Team Lowassa wakasema bora tukose wote wakaamua kura zao kumpatia John P Magufuli na Membe akashika mkia akifuatiwa na January.

Ndiyo kusema waliomfanya Magufuli kupata kura nyingi walikuwa ni Team Lowassa akina Sofia Simba ambao leo anawaona hawana thamani yeyote, shukrani ya punda ni mateke.

Akumbuke hawa ndio waliomuweka hapo, bila wao leo hii asingekuwa na nguvu aliyonayo leo ya kuwafukuza kwenye chama ambacho wengine amewakuta ndani.

Naifananisha hali ya fukuza fukuza inayotokea ndani ya CCM sawa na picha ya January ya mtu anayetumia mbao za ngazi kuoka moto akisahau kuna siku atazihitaji kutokea nje ya shimo.
View attachment 480565
HAYO Ni Mawazo yako na ndio umefika mwisho wa kufikiria.CCM haijaanza kufukuza watu Leo tena wenye nafasi Kubwa tu kama kina SEIF SHARIF HAMAD,kama walimpatia Magufuli kura je waliendelea kumpa kura au walirudi kwa Lowassa?
 
Nimesema ndio waliomsaidia kupata urais, walimsaidia kushinda kura ya maoni wakamsaidia pia kwenye uchaguzi mkuu, leo anawaona na kuwafukuza kama mbwa.

Hayo ya kufukuzwa Hamad sio mada hii.
 
Kura ya maoni lowasa jina lake halikuwepo kabsa ktk wale 5 nahis lilibaki dar
 
Tatizo Tanzania kuna raisi wa ajabu hajawahi kutokea duniani badala ya kuwaza namna ya kutimiza ilani yake na kuwaletea wananchi maendeleo yeye anawaza mambo ya hovyo kulipiza kisasi mambo ambayo yameshapita .
Maneno ya kwenye kanga hayo waachie dada zetu wa salon wanaposukana, fanya kazi masiha yasonge
 
Utawala hupangwa na Mola.

Unakumbuka mnara wa Baberi?

Walijichanganya ili kusudio la Mungu litimie,vivyo ndivyo kwa Mgufuli.
Tanzania yetu ilitaka kuangamia,Mungu akamtuma mokozi,ambaye ni Magufuli kuokoa kizazi chetu.

Mengine ni porojo za kwenye kahwa kusukuma muda na kujifariji.
kumbuka pia Mungu huwaweka watawala jeuri kama magufuli ili neno lake liweze kutimia,refer kitabu cha samwel na mfalme sauli
 
Hao timu Lowasa walishindwa nini kumsaidia awe rais
Mkuu, ulikuwepo nchini wakati hayo yanafanyika? Au sorry, unazielewa taratibu za ccm kumpata mgombea wao? Well kama yote hayo jibu ni HAPANA, umeshindwa hata kuusoma vizuri uzi ukauelewa? Ni hivi, majina yote huchujwa na kubaki 5 tu, hayo 5 ndio hupigiwa KURA; kwa maana nyingine hao team Lowassa hawakua na cha kufanya cause jina lake lilikatwa na watu wachache. Mbona hili tukio halina hata miaka 2 na still watu tumeisha sahau, je ikifika miaka 10? Nakubaliana kabisa na mleta UZI, kafanya analysis nzuri na ya kweli kabisa. Rudi uusome uzi vizuri, utamuelewa mleta UZI.
 
Unakomenti huku ngada ya mwenyekiti imelala kichwani.

5 bora walikuwa wengi, kwa nini hao timu Lowasa wamsaidie Magufuli ?
 
Umeusoma vizuri uzi? Kama una wa kwako tengeneza na wewe wako then tuchangie huko, mleta UZI kasema ndani ya wale wagombea zilikuwepo kambi 2 tu, yaani ya Membe na Lowassa, then Lowassa alivyo katwa hao team Lowassa nao wakaona wamkomoe mwenyekiti wao kwa kumpa mtu mwingine ili wakose wote. Kama msimamo huo sio wa kweli ungeanza kumpinga kuanzia kwenye huo msingi. Hivyo vitu mnavyo vitumia nyie mnadhani wote hua tunatumia, bahati mbaya sana huyo unae mwita mwenyekiti wangu alitajwa na mtu ambaye alifeli vibaya mno shule na ikabidi ajibatize jina linguine but na wewe unamwamini na wazungu walisema birds of the same feather fly together, hope na akili yako inafanana na yule mtangazaji tu ambaye sasa hvi hata ofisi anaiona ya moto.
 
Utawala hupangwa na Mola.

Unakumbuka mnara wa Baberi?

Walijichanganya ili kusudio la Mungu litimie,vivyo ndivyo kwa Mgufuli.
Tanzania yetu ilitaka kuangamia,Mungu akamtuma mokozi,ambaye ni Magufuli kuokoa kizazi chetu.

Mengine ni porojo za kwenye kahwa kusukuma muda na kujifariji.
Mokozi wako wewe,usituletee u fisi hapa
 
Unakomenti huku ngada ya mwenyekiti imelala kichwani.

5 bora walikuwa wengi, kwa nini hao timu Lowasa wamsaidie Magufuli ?
Mkuu 5 bora hawakuwa wengi walikuwa watano,

sababu za Magufuli kupata kura nyingi nimezieleza.
 
Ahsante. Ahsante sana kwa maelezo na caption.
 
Umeusoma vizuri uzi? Kama una wa kwako tengeneza na wewe wako then tuchangie huko, mleta UZI kasema ndani ya wale wagombea zilikuwepo kambi 2 tu, yaani ya Membe na Lowassa, then Lowassa alivyo katwa hao team Lowassa nao wakaona wamkomoe mwenyekiti wao kwa kumpa mtu mwingine ili wakose wote. Kama msimamo huo sio wa kweli ungeanza kumpinga kuanzia kwenye huo msingi. Hivyo vitu mnavyo vitumia nyie mnadhani wote hua tunatumia, bahati mbaya sana huyo unae mwita mwenyekiti wangu alitajwa na mtu ambaye alifeli vibaya mno shule na ikabidi ajibatize jina linguine but na wewe unamwamini na wazungu walisema birds of the same feather fly together, hope na akili yako inafanana na yule mtangazaji tu ambaye sasa hvi hata ofisi anaiona ya moto.
Mkuu kuna wengine wana vichwa vigumu sana kuelewa tuwavumilie.

Mtu anayesema 5 bora walikuwa wengi utamweka group gani.
 
Wakati wa kura za maoni 2015 kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM ni kambi mbili tu zilizokuwa zinapewa nafasi kubwa ambazo ni Kambi ya Lowassa na Kambi ya Membe iliyokuwa inapigiwa upatu na rais Kikwete kwa wakati huo.

Baada ya jina la Lowassa kukatwa Team Lowassa walijua aliyesababisha yote hayo ni Mkiti JK ambaye alikuwa Team Membe. Kwa ghadhabu Team Lowassa wakasema bora tukose wote wakaamua kura zao kumpatia John P Magufuli na Membe akashika mkia akifuatiwa na January.

Ndiyo kusema waliomfanya Magufuli kupata kura nyingi walikuwa ni Team Lowassa akina Sofia Simba ambao leo anawaona hawana thamani yeyote, shukrani ya punda ni mateke.

Akumbuke hawa ndio waliomuweka hapo, bila wao leo hii asingekuwa na nguvu aliyonayo leo ya kuwafukuza kwenye chama ambacho wengine amewakuta ndani.

Naifananisha hali ya fukuza fukuza inayotokea ndani ya CCM sawa na picha ya January ya mtu anayetumia mbao za ngazi kuoka moto akisahau kuna siku atazihitaji kutokea nje ya shimo.
View attachment 480565
Kwa ujumpla upinzani umechangia sana kuwaweka Maraisi wa awamu ya tatu, nne na tano madarakani. Mkapa alipitishwa kwa kuwa alikuwa msafi wa kuweza kupambana na Mrema. Kikwete alipitishwa maana walihofia asipopitishwa angehamia CDM na kushindwa kuwa upande huo. Magufuli naye alipitishwa maana ndiye aliyekuwa msafi wa kuweza kupambana na upinzani baada ya Lowasa kuenguliwa.

Tuongoje 2025 tuoni upinzani watapelekea nani kusimamishwa na CCM
 
Utawala hupangwa na Mola.

Unakumbuka mnara wa Baberi?

Walijichanganya ili kusudio la Mungu litimie,vivyo ndivyo kwa Mgufuli.
Tanzania yetu ilitaka kuangamia,Mungu akamtuma mokozi,ambaye ni Magufuli kuokoa kizazi chetu.

Mengine ni porojo za kwenye kahwa kusukuma muda na kujifariji.
Pumba kabisa
 
kaokoa nini kama sio matatizo kila uchaoooo
 
Back
Top Bottom