Wakati wa kura za maoni 2015 kumpata mgombea urais kwa tiketi ya CCM ni kambi mbili tu zilizokuwa zinapewa nafasi kubwa ambazo ni Kambi ya Lowassa na Kambi ya Membe iliyokuwa inapigiwa upatu na rais Kikwete kwa wakati huo.
Baada ya jina la Lowassa kukatwa Team Lowassa walijua aliyesababisha yote hayo ni Mkiti JK ambaye alikuwa Team Membe. Kwa ghadhabu Team Lowassa wakasema bora tukose wote wakaamua kura zao kumpatia John P Magufuli na Membe akashika mkia akifuatiwa na January.
Ndiyo kusema waliomfanya Magufuli kupata kura nyingi walikuwa ni Team Lowassa akina Sofia Simba ambao leo anawaona hawana thamani yeyote, shukrani ya punda ni mateke.
Akumbuke hawa ndio waliomuweka hapo, bila wao leo hii asingekuwa na nguvu aliyonayo leo ya kuwafukuza kwenye chama ambacho wengine amewakuta ndani.
Naifananisha hali ya fukuza fukuza inayotokea ndani ya CCM sawa na picha ya January ya mtu anayetumia mbao za ngazi kuoka moto akisahau kuna siku atazihitaji kutokea nje ya shimo.