Wasikilize makamanda wa M4C vs V4C Live on Wapo Radio

Malema wa Cuf anajbu maswali;anasema V4C si ya leo bali ni ya zamani.imefanikiwa kuvuna wanachama 200 esp Arusha akiwepo aliyekuwa mlnzi wa Lema&mjane wa aliyeuliwa ktk vurugu za Arusha
 
ameulizwa kuhusu coaster zilizoenda Arusha...anajibu walipeleka coaster 10 Arusha ili kudumisha mshikamano..hahahahahahaha!!!yani kama vichekesho.
 
Ninasikiliza Radio moja inaitwa WAPO RADIO FM sasa hivi, kuna mada inayohusu M4C ya Chadema na V4C ya CUF.

Yeye kapiga simu anajiita MZEE HAMISI, akasema anajua vyama hivi vina watu mahiri na machachari na wana wanasheria mahiri. Sasa wana mpango gani kuwashughulikia na hawa mafisadi kisheria mbali na kuzunguka tu kisiasa na kuwatajataja?

Sasa mimi ninamfahamu sana Mhe. Samwel Sitta na sauti yake, hadi anavyoongea na chaguzi za maneno yake ni typical kabisa ni yeye. Najua wale waliosikiliza wamemtambua.

Sasa kadanganya ID yake kwa nini?
Je, anaona aibu kuwa-confront wapinzani kwa jina lake?
Je anaomba msaada wa kuwashughulikia wabaya wake kupitia radio?

Nawasilisha.
 
aesema chadema wameiga kila kitu kutoka CUF sijui kama kuna ukwli kiasi gani
 
anasema vyombo vya habari aviwatendei haki kwani V4C ipo miaka mingi sema vyombo vya habari vinawahujumu..
 
majibu ya cuf,tunawakamata mafisadi tunawapeleka mahakamani chadema wanawatetea.
swali.katika kesi zilizofunguliwa na ccm ,cuf wanasemaje wamewafungulia mafisadi kesi.
 
Malima amelalamika kuwa baadhi ya wanasheria wa Cdm(Marando)wamekuwa mawakili wa mafisadi
 
anasema cuf imefanya mengi kupambana na ufisadi....anatoa lawama kwa wanasheria wa chadema kutetea mafisadi akimtaja Marando...hii kwa kweli inarudisha nyuma mapambano yao dhidi ya ufisadi.
 
He he wajua siku zote kila mjinga hupenda kuwa mwerevu kwa mjinga mwenzake so cuf amenishangaza sana asilimia 80 ya mambo Yao ni mipango ya kupinga mambo ya chadema kama vile ndio chama tawala jamani cuf hebu badilikeni chadema haina dola now anapaswa kutumia nguvu then kuitoa ccm
 
makene ajaribu kuongea kiswahili fasaha sio kuchanganya kiingereza na kiswahili,(kiswakinge)
wasikilizaji ni watu wa kawaida.
(undermine,arrogance,infact,ownership,reference,youth for change,nk haya kayaongea)
lakinii ujumbe umefika na anashusha nondo
 
kila mtu ana haki ya kuwakilishwa mahakamani au katika vyombo vingine vya utoaji haki
mawakili hawapaswi kubagua watu kwa sababu ya kiitikadi
na ikumbukwe mtoa maamuzi ya mwisho sio wakili ni mahakama
wana sheria zao zinazowalinda kwa hili.
hii kwa kweli ata mimi namuunga mkono.
 
hii kwa kweli ata mimi namuunga mkono.

Wapi malima anaongea nini kazi ya wakili ni kutetea then marando yupo kazini kama yeye malima ana ushahidi wa kutosha sioni sababu ya kupiga nderemo nje ya ukumbu wa harusi na ukumbi anauona
 
jamaa wa CUF naona leo yeye anakufa na Chadema tu.....anaulizwa kuhusu wabunge wa Cuf kuwa kimya bungeni tofauti na kabla ya ndoa,yeye yuko moto na Chadema tu.
 
Hoja kutoka kwa msikilzaji kwa wote Cuf&Cdm;kuwa watoe ufafanuzi juu ya kushuka na kupanda kwa kiwango cha kura za vyama vyao ktk chaguzi mbalimbali nchini.
 
Back
Top Bottom