Wasifu wa Profesa Stephen William Hawking

Wasifu wa Profesa Stephen William Hawking

Nishaona muvi yake huyu jamaa, sikujua kama ana'exist'.
 
Anakipindi chake investigation discovery ni bonge la kipindi.
 
Ila juzi nimesoma sehemu wana dispute hiyo bing bang theory..

cc Kiranga Nyani Ngabu

Mbona mini nishapost mara kibao flaws za big bang theory.

Complete with references from Brian Clegg's "Before the Big Bang:The Prehistory of the Universe", which I enjoyed tremendously.
 
Last edited by a moderator:
Binadamu u mavumbi na mavumbini utarudi asema Bwana
Aliyemkana amefanya yake
Mungu ni wa wote wamwaminio na wasiomwamini
 
Sikuwahi mfahamu sana huyu profesa lakini nimetokea kuvutika kufahamu mambo fulani kuhusiana na huyu profesa hasa TECNOLOJIA iliyokuwa ina muwezesha kuzungumza ili hali hawezi hata kuinua mdogo hata kidogo pia kuchezesha viungo vyake hususa mikono

Wajuzi wa mambo tujuzane kuhusu huyu NEWTON WA KARNE ETU?
 
Back
Top Bottom