Wasifu wa Profesa Stephen William Hawking

Wasifu wa Profesa Stephen William Hawking

Ndo maana labda alipewa ule ulemavu milele...maana angekuwa mzima angeivuruga sana dunia kwa theory zake
 
Huyo jamaa ni kichwa, ana vipindi vyake discovery science, tena ameparalyze anaongea kwa kutumia kompyuta tu, jamaa ni kichwa kinoma siachi kuangalia vipindi vyake, lakini usipokuwa na imaan thabiti juu ya mungu unaweza ukakufuru
huko sio kuongea bali computer ilikuwa inatasfiri mawazo yake na kutoa sauti
 
Akina prof shaba machunda mhigula walijifia kienyeji. Ila hawa wanasiasa tunahangaika nao hadi ubelgiji
 
namwona kama mlemavu au ndio pozi tu la kwenye kiti?
huyo jamaa aliparaliz alikiwa hawezi fanya chochote zaid ya vidole viwil tu vilivyokuwa vinafanya kazi walimuwekea machine ambayo ni computer alichokuwa anafikilia ndicho computer ilikuwa inatoa sauti kile alichokuwa anafikilia
 
movie yake jamn naombeni inaitwaje.....?
 
huyo jamaa aliparaliz alikiwa hawezi fanya chochote zaid ya vidole viwil tu vilivyokuwa vinafanya kazi walimuwekea machine ambayo ni computer alichokuwa anafikilia ndicho computer ilikuwa inatoa sauti kile alichokuwa anafikilia
Asante kwa kunielewesha
 
We ndo hujaelewa swali, muuliza swali anataka kumjua jamaa,na katika sehemu ya kumjua mtu maarufu ni kueleza hadi kifo chake.
Mkuu jamaa kamuulizia kwa kuwa keshafariki huyo genius
Amemjua kisa kafariki
 
Back
Top Bottom