BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,651
- 12,030
Ndele ndo nini?Ndio maana mbishi sana..hao watu wanapiga ndele sana
Ndele ndo nini?Ndio maana mbishi sana..hao watu wanapiga ndele sana
Hiyo ndele ni ni kiswahili?Uchawi
Ninavyofahamu ndele ni uchawi wa mvuto, mwanaume anakuwa nao kuvutia wanawake,Uchawi