mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,366
- 223
Kwanza ni mpiganaji.Ni role model wa wanawake
Alianza kuwa secretary,baadaye alijiendeleza kama ifuatavyo:
Certificate in law-Udsm
LLB Hons-Udsm fuculty of law.
Advanced diploma in women in law
Master of science in community development-Hemphshire college of USA.
Ukitaka ukweli angalia kwenye cv za wabunge.Taarifa hizi zipo kwenye bunge website.
lecturers wake ni pamoja na prof.shivji,prof Fimbo,Prof.Shaidi.
Hivi mnajua hata prof.Anna Tibaijuka alianza kazi kama secretary badae akajiendeleza.
Kwenye RED hicho kingereza vipi hapo?
Kwenye BLUE nia yako nini hasa kutuletea hiyo hoja? Umetumwa na Magamba nini?