Wasifu wa Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi au Klynn

Amezaliwa 1978 ana count 40+ ila ukimuona utasema binti mdogo kuliko amber rutty
 
Chuki bhana!!
 
Chuki bhana!!

Hakuna chuki yoyote mzee ni just ku-state the obvious kuweka records sawa!

Hakuna cha ajabu mwanamke kupata mali kama golddigger....Its her pussy ana make good use of it!

Nothing wrong with that!

Ila uki-state the records watu wanachukia wanadhani mtu una chuki nae!
 
Umesema ni wa manyovu kwanini uwaite watusi!!??? Manyovu ni Rwanda au Burundi!!!?? Mbona Masai na Wajaruo waishio Tanzania hamuwaiti Wakenya!!?
Acha chuki.

hujanielewa huku kigoma ,tabaka la watu wa manyovu wanajulikana kwa jina la watusi wa manyovu ..thats popular .
 
Nadhani uyatima ndio ulimfanya aishie la saba b tena chini ya mti, coz hakuona mtu wa kuweza kuendelea kumsaidia, na yawezekana alifaulu vizuri tuu lkn kwa kipindi kile kam hauna uwezo basi nafasi yako inauzwa kwa wenye uwezo.lkn kinachoonekana hapa ni kwamba alithubutu na akawin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…