Mamujay
Senior Member
- Dec 24, 2022
- 150
- 342
IMANI KAJULA NDIYE CEO WETU MPYA
uongozi wa Klabu umefikia makubaliano ya kumuajiri Ndugu Imani Kajula kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) kwa mkataba wa miezi sita✍️
Kajula anachukua nafasi iliyoachwa na Barbara Gonzalez ambaye alijiuzulu nafasi hiyo Desemba 10/2022✍️
Kajula ni Mzoefu kwenye msuala ya uongozi wa mpira kwani alikuwepo kwenye kamati ya Maandalizi Michuano ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17 iliyofanyika nchini mwaka 2019✍️
Kabla ya kujiunga nasi kajula alikuwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Masoko na Mawasiliano ya EAG Group tangu 2013 mpaka sasa✍️
Kajula ni mbobevu wa masuala ya Masoko na Mawasiliano na amaefanya kazi na Makampuni mbalimbali na mabenki ndani ya nje ya nchi✍️
Miongoni mwa kazi alizofanya mpaka sasa✍️
-Mkuu wa kitengo cha masoko na Mawasiliano NMB (2006-2013)✍️
-Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta(2003-2006)✍️
-Meneja Masoko wa CRDB(1999-2003)✍️
Akiwa EAG Group Kajula alikuwa sehemu ya Maandalizi ya Wiki Ya Simba Mpaka kilele chake (Simba Day) ambapo Kampuni hiyo ndiyo ilitengeneza mitandao ya kijamii ya Klabu💪