BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,267
Anaonesha kuwa na subira na hekima !
Hahahahaa hamna kitu
Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku
Felix Kijiko aka Ntibenda
Fabian Daqaro
Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja
Utali, biashara za madini etcHahahahaa hamna kitu
Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku
Felix Kijiko aka Ntibenda
Fabian Daqaro
Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja
Mission inendeleaMission yake huyo ni ipi... !!!?? Maana Iringa na Mbeya mission ni kuwang'oa Msigwa na Sugu.
Arusha watu wana jielewa. Ntibenda kwakweli aliiwezea Arusha. Amani na utulivu uliopo Arusha uli letwa na huyu baba. Fitna za Gambo kutamani madaraka zika muondoa baba wa watu. Gambo akaja kuvuruga baada ya kuaminiwa na babaHahahahaa hamna kitu
Sijui tu kwakweli Arusha kuna shida Gani haswa mpaka wanapelekewa watu "wale wale" kila siku
Felix Kijiko aka Ntibenda
Fabian Daqaro
Na huyu Kimanta wooote wanatoka nyumba moja
Anaonesha kuwa na subira na hekima !
Wadau kwa anayefahamu CV yake RC wa Arusha, Iddi Kimanta kabla ya hapo inafahamika alikuwa Mkuu wa Wilaya Monduli. Zaidi ya hapo wakuu ili tumfahamu vizuri maana arachuga ni jiji kubwa na lina Mambo mengi, ni vizuri tukamjua kiongozi wetu.
Watu wamezoea kuona uungwana wa mtu kutokana na mwonekano wake na ndio maana wanapigwa na matapeliSura siyo Roho Ndugu kwani hata Hayati Dikteta Idi Amini nae alikuwa na Sura yenye Mvuto na Matumaini, ila iliyokinzana kabisa na aliyoyatenda.
Mbona anaonekana ni mtu kutoka kitengoni pale.Wadau kwa anayefahamu CV yake RC wa Arusha, Iddi Kimanta kabla ya hapo inafahamika alikuwa Mkuu wa Wilaya Monduli. Zaidi ya hapo wakuu ili tumfahamu vizuri maana arachuga ni jiji kubwa na lina Mambo mengi, ni vizuri tukamjua kiongozi wetu.
Kula tanoArusha watu wana jielewa. Ntibenda kwakweli aliiwezea Arusha. Amani na utulivu uliopo Arusha uli letwa na huyu baba. Fitna za Gambo kutamani madaraka zika muondoa baba wa watu. Gambo akaja kuvuruga baada ya kuaminiwa na baba
Huyu ni kabila gani?Wadau kwa anayefahamu CV yake RC wa Arusha, Iddi Kimanta kabla ya hapo inafahamika alikuwa Mkuu wa Wilaya Monduli. Zaidi ya hapo wakuu ili tumfahamu vizuri maana arachuga ni jiji kubwa na lina Mambo mengi, ni vizuri tukamjua kiongozi wetu.