Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Makamanda samahani jamani sina nia ya kumpaisha huyo bwana Nyakarungu ndie nani haswaa? ana wadhifa gani chadema? mwenye CV yake atuwekee hapa tupate kumjua mi binafsi hata simjui na sijawahi kumsikia ndio kwanza leo nasikia anatangaza uasi......
AMA KWELI DUNIA INA VIUMBE WENGI.
ni muhuni flani wa zzzzzk akilipwa 2000 tu anakaa jf mpka asubuhi; chmia tumbo ya cccccm
Kielimu ni mwanafunzi wa chuo kikuu mzumbe mwaka wa tatu..kozi yake ni HSM/bachela na pia Ni spika wa bunge.
Cha kuongezea ni classmate wangu