Asante Michelle. nakubali kwamba Lema is a talented leader, visionary, and very determined. he feels the people and delivers for them. Nimefurahi kwamba anajiendeleza kielimu kwa kiwango hicho, najua wabunge kadhaa wa bunge lililopita ambao walisoma baada ya kuwa wabunge na sasa baadhi wanaendelea na ubunge.
mambo mawili naomba umshauri.
1. muombe ajaribu kutumia zaidi kiswahil anapoongea mbele za watu kwani huwa anapotumia tu maneno ya kiingereza katika mazungumzo yake anavunja kweli kweli. Ingawa ujumbe unafika, lakini sasa huwa anawapa watu nafasi ya kuanza kujiuliza maswali baadaye.
2. mwambie asiwatukane polisi. hili ni muhimu zaidi, kwamba polisi wa kawaida arusha ni wapenzi sana wa chadema lakini wana kisasi na Lema kutokana na kuwarushia maneno mabaya anapohemshwa na machalii. akifanikiwa kurudisha urafiki na polisi watamsaidia sana sana kwani hawapendi chadema ihujumiwe.
Huyo chizi hapo juu kanipa hasira sasa nimemuuliza mwenyewe,
ADVANCED DIPLOMA HUMAN RESOURCES MANAGEMENT-Cambridge International College(nilikosea nikasema IAA)
BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION-Bado anasoma hapo hapo Cambridge International College
Certificate ya Effective Management of Leadership-from Cambridge International College
Na wakti huu yuko anafanya mitihani kwa ajili ya course ya Project Management
Huko Kibohehe hakukuwa mwisho wa elimu ya Godbless Lema,sasa wapigie huko Cambridge wakuambie..................:car::car::car:
Heshima kwako Michelle,
Umewahi kujiuliza ni chuo gani kilichosajiliwa kinaweza kumpokea mtu aliemaliza kidato cha pili kwa course ya Advance Diploma ??????.Tunaweza kurefusha mjadala sana lakini mwisho wa siku ukweli unabaki pale pale mengi nakuachia wewe unayeta story za kuambiwa na mke wa Lema halafu ukibwana povu linakutoka.
Heshima kwako Michelle,
Umewahi kujiuliza ni chuo gani kilichosajiliwa kinaweza kumpokea mtu aliemaliza kidato cha pili kwa course ya Advance Diploma ??????.Tunaweza kurefusha mjadala sana lakini mwisho wa siku ukweli unabaki pale pale mengi nakuachia wewe unayeta story za kuambiwa na mke wa Lema halafu ukibanwa povu linakutoka.
Nakupa mtihani mdogo sana huna sababu za kutudanganya kwamba Lema ana ADHRM naomba utueleze kidato cha nne kamaliza shule ipi,je ana cheti.
Heshima kwako Michelle,
Mwaka 2005 Lema akigombea ubunge kwa tiketi ya TLP alisema ana Diploma in Theology.Mwaka 2010 kadai ana ADHRM,mwaka 2015 akidai ana PhD najua atapata watetezi !.Tanzania kila aina ya usanii unakubalika Mungu atusaidie kuyapokea yaliyoshindikana.
Mheshimiwa Lema ni mbunge hizi sifa asizokuwanazo za nini.Michelle anadai Lema ana ADHRM sasa anamalizia Bachelor of Business Administration ????.

Kuna Limitation kwamba ukisoma Theology usiendelee kusoma,five years hazitoshi kwa mtu kusoma ADHRM????I bet your brain feels as good as new, seeing that you've never used it.
Hakuna sehemu nimesema anamalizia BBA,nimesema bado anasoma,why all this hate? Let him be!.......
Heshima yako Ngongo.
Wazoefu wa hapa jf tunajua kilichoko rohoni ama moyoni mwako dhidi ya mh.Lema.
Wakati wa kampeni ulitueleza mengi sana mabaya kuhusu Lema lakini mwisho wa siku machalii wa arusha walimchagua Lema na kuwaacha wasomi wako Batilda, Lyimo wa tlp-mshikaji wako, yule jamaa wa demokrasia makini aliyedai ana masters na wengine wengi.
Halafu december nilikuja arusha nilitamani sana nikuone lakini umejificha, hutakikufahamiana na wana jf wenzako, any way ni haki yako ingawa this is too much bana.
Back to the topic, kama ungekuwa makini kujua jinsi mfumo wa elimu wa Tanzania unavyofanya kazi wala usingeshangaa ni kwa nini Lema ana Advanced Diploma lakini bado tena anasoma bachelor, sitaki kukupa majibu ya haraka ila kalifanyie kazi hilo, ukishindwa uje uniambie nitakufahamisha. Na pengine kama unavyoonyesha wasiwasi na elimu ya bw.Lema kwamba inawezekanaje akapokelewa kusoma advance diploma akiwa hana hata cheti cha form four, kwanza jaribu kupata uhakika kama hicho chuo kweli kipo na kiko-recognized/accredited na vyombo husika. Kama huwezi kutafuta habari hiyo mwenyewe muombe msemakweli akusaidie, yeye ameweza kuwaumbua wengi tu nadhani utakuwa unamfahamu.
Kwa kumalizia tu, hivi unashangaa nini mtu akisoma ADHRM na then akasoma BBA!!??
C'mon Ngongo hebu fanya homework yako vizuri, ili habari unazotuletea tuzione zina ukweli ndani yake, vinginevyo itakuwa ni katika kuendeleza jealous arife.
Kuna Limitation kwamba ukisoma Theology usiendelee kusoma,five years hazitoshi kwa mtu kusoma ADHRM????I bet your brain feels as good as new, seeing that you've never used it.
Hakuna sehemu nimesema anamalizia BBA,nimesema bado anasoma,why all this hate? Let him be!.......
duh, michele unavyomjua huyu jamaa?
kwa namna ambavyo ngongo anaulizia kuhusu uwezekano wa Lema kuwa amesoma, inawezekana yeye ndiye hajasoma. huwezi ukawa umesoma halafu ukawa hujakutana na watu ambao walishindwa kumaliza form four kwa sababu mbali mbali lakini wakajiendeleza kama private candidates. hebu ngongo atupatie cv yake hapa, kama kweli amesoma?
Ukipenda kipofu utaita kengeza...Kama tumefika mahala mpaka matapeli wanaonekana safi katika jamii, kazi kweli kweli
You're very smart. You have brains you never used.....After all that has been said above,this is the comment that comes from your head........
Ukipenda kipofu utaita kengeza...Kama tumefika mahala mpaka matapeli wanaonekana safi katika jamii, kazi kweli kweli
Nimemwambia na pengine naye atasoma hilo baadaye, nafurahi pia unaelewa kwamba wakati mwingine ana-behave kutokana na pressure za wananchi wake,ni ngumu sana kwake kutumia hekima yake.Natumai kabisa Mungu atamzidishia hekima na akitulia atatengeneza uhusiano wake na polisi.Asante sana Gurudumu.
Kaka yake alimletea kama zawadi na ndugu zake wengine kutoka Namibia,sina hakika kama inaruhusiwa but najua inalipiwa hiyo plate no.Lema ni mfanyabiashara wa madini,hilo la fundi computer labda alikuwa anafanya kama hobby akisubiri wateja..............lol