Wasifu wa Agnes Marwa, Mbunge wa CCM aliyekataa Bunge Live

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Habari wana Jf

Kwa Matokeo haya kama Agnes Marwa (Ccm) ndio huyo Mbunge Aliyelia ili Bunge lisionyeshwe Live anahaki kabisa ya kulia na kusema vile... Kumbe shule ndio tatizo

IMG-20160515-WA0011.jpg

Elimu yake:
image.png
 
awa wabunge wa ELIMU DUNI atutopiga hatua kwende mbele, tutaishia kusuasua hapa na uyu anaejinasibu na Tanzania ya viwanda akutakua na lolote.

Tunaitaji wabunge wasomi wanaoweza kujenga oja na kutetea maslahi ya nchi kwa upana na sio bwana aliekuweka hapo Bungeni.

Sio yeye tu fatilia wabunge wengi wa SISIEM elimu zao ni za kuungaunga na wale wasomi wanaongozwa na watu wasiokua na elimu ata ya Diploma, unategemea kutakua na ufanisi hapo au ni tabia ya kumfuta mfalme wako miguu ili uendelee kupeta mtaani?

Tuje kwa wakuu wa wilaya na mikoa wengi wao ni wale wanachama watiifu, wanaotetea chama ata kama kimeua, mifano mzuri jijin Dar es Salaam kwa viongozi waliowekwa pale amna maendeleo yatakaokuja kwasababu waliwekwa kuwazuia madiwani wa UKAWA kutumikia wananchi.

Acha movie iendelee
 
Ccm na Maigizo ni sawa na nzi na Kinyesi
 
Kwani yakoje ? I'll bungeni ni mkusanyiko maana wapo Proffessors was Shule mpaka profesas wa miti shamba. Na hapo hatuko serious
 
Back
Top Bottom