Wasifu: Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA

Wasifu: Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Posts
4,694
Reaction score
793
Habari ya Unaibu ni Tetesi tu.... ila wasifu ndio huo
--------------------------------------
Peopleeeeeez Power... wasifu http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1626/2010-2015
wa katibu mpya wetu wa CDM Kamanda wa Kutumainiwa.... peoplezzzzz poweerz

Updates
-----------
Jamani unaibu katibu mkuuu is un-confirmed.... ni testesi tu... ni mapendekezo tu watu wameweka.... mod delete huu uzi.... na poleni sana.
 
kweli la kuvunda halina ubani wakuu chadema imevunda sasa hata wakiweka ubani lazima ivunde tu.
 
Jamaaa atakuwa Bonge la Naibu Katibu Mkuu, especially kwa kuwa mkuu wake wa kazi ni
Padr na yeye ni mchungaji it will be a winning team. pepozzzzzzzzzzzzz powazzzx
 
katibu mkuu mtendaji WILBROAD SLAA NI PADRE,

naibu katibu mkuu mtendaji PETER MSIGWA NI MCHUNGAJI,,

WANAKUJA KUHUBIRI DEMOKRASIA AU NENO LA MUNGU??

AU NDIO MAAGIZO TOKA HUKO UJERUMANI C.D.U???
 
Mi inaniuma zaidi mna mwacha Suguuuzzz!!!!!!!

ugwe sugu wakumitu..........heeeee ulinamatingo wakumitu.

wahumbeye sugu, ndewaani.....mviliwani nehaje......

Uyangashoni te wamwitu sugu, mwanawetu wee chadema iwala humwanya ....ccm chini...
 
Jamaaa atakuwa Bonge la Naibu Katibu Mkuu, especially kwa kuwa mkuu wake wa kazi ni
Padr na yeye ni mchungaji it will be a winning team. pepozzzzzzzzzzzzz powazzzx

:tape: :tape:

Unajiamin nin??

Huogopi kuitwa gaidi kama mimi??
 
Pia Ni vizuri Nafasi ya M/Mwenyekiti apewe Mchungaji Natse na tukabadilisha Slogani ya Chama baada ya People power iwe "HALELUYAA" AMEEEN
 
Back
Top Bottom