Wasifu: Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA

Wasifu: Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA

wewe mdini #1jf . Ulitaka ustaadhi kipozeo wa neema za allah ndio achukue hio nafasi. Au shehe ponda


Aaah,

Sasa udini uko wapi??udin wangu uko wapi??kwanza nini maana ya udini??

Katibu mkuu Wilbroad Slaa ni Padre mstaafu..kwani uongo??

Naibu Katibu Mkuu Peter Msigwa ni Mchungaji.!!,kwani uongo??

SASA TUKISEMA UKWELI INAKUA CHUNGU TENA??KWAN SLAA NI SHEKHE?SI NI PADRI??

MSIGWA NI USTADHI??SI NI MCHUNGAJI??NA WOTE HAO WAWILI KWA SASA SI NDIO WATENDAJI WAKUU WA CHAMA??

YAN NAKUAMBIA KITU KILICHOPO UNANIMWAGIA MATUSI TENA??
 
Mbona na wewe unaingia kwenye tope kama hili? Aliyesema Msigwa ka teuliwa ni nani? Au labda ka teuliwa na Jf ?

Wewe uko wapi??

Ina maana hujui kuwa nafasi ya zitto kwa sasa kapewa msigwa??

Kumbe hata taarifa hii huna??

Ndiyo uchukue hivyo mi nakupasha,je ina ukakasi eeeh??
 
Mkuu nimekuDHARAU sana!

Ukinidharau mimi utakuwa unawadharau hao waliofanya huo uteuzi Mkuu,

Mimi nimesherehesha tuh,ya kwamba,

1.KATIBU MKUU WILBROAD SLAA NI PADRE,KWAN UONGO??

2.NAIBU WAKE KWA SASA PETER MSIGWA NI MCHUNGAJI,KWAN UONGO??

NA HAO WOTE KWA SASA SI NDIYO WATENDAJI WA CHAMA??

NAULIZA TUH,WANAKUJA KUTANGAZA DEMOKRASIA AU NENO LA BWANA??

THATS ALL....
 
ukiwa mwana siasa ni kama umezama kwenye mapenzi na wachaga ubaya unakuja kuuona zikianza kurindima za moto.
 
wanajf sasa wamekuwa na mawazo mgando badala ya kujadili performance ya mtu tunajadili dini!huu ni ukosefu wa fikra pevu katika kujenga hoja na mustakabali wa maendeleo ya nchi hii
 
katibu mkuu mtendaji WILBROAD SLAA NI PADRE,

naibu katibu mkuu mtendaji PETER MSIGWA NI MCHUNGAJI,,

WANAKUJA KUHUBIRI DEMOKRASIA AU NENO LA MUNGU??

AU NDIO MAAGIZO TOKA HUKO UJERUMANI C.D.U???

CCM WAMETIA HURUMA SANA JUU YA HII EVENT KWANI WALIMTUMAINIA SANA ZITTO AWASAIDIE KTK KUIHUJUMU CHADEMA NA NDO UYO WAMEMMWAGA,

IT IS MY HOPE MTAMTAFUTA MBADALA WAKE FASTER O.w MTAIJUA CHADEMA INAMAANISHA NINI 2015
 
katibu mkuu mtendaji WILBROAD SLAA NI PADRE,

naibu katibu mkuu mtendaji PETER MSIGWA NI MCHUNGAJI,,

WANAKUJA KUHUBIRI DEMOKRASIA AU NENO LA MUNGU??

AU NDIO MAAGIZO TOKA HUKO UJERUMANI C.D.U???

M/kiti ccm na katibu mkuu ccm ni wanajeshi.WANAKUJA KUSUKA JESHI NINI?
 
katibu mkuu mtendaji WILBROAD SLAA NI PADRE,

naibu katibu mkuu mtendaji PETER MSIGWA NI MCHUNGAJI,,

WANAKUJA KUHUBIRI DEMOKRASIA AU NENO LA MUNGU??

AU NDIO MAAGIZO TOKA HUKO UJERUMANI C.D.U???

Katika hili la kutimuliwa mnafiki zito hakuna watu limewaumiza kama ccm maana mipango yao imekwama pole magamba na mbinu zenu chafu
 
Back
Top Bottom