Wasifu: Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA

Wasifu: Naibu Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA

Basi kipindi kile cha vurugu za gesi nikawa nakuona una akili sana kumbe ni lizezeta
katibu mkuu mtendaji WILBROAD SLAA NI PADRE,

naibu katibu mkuu mtendaji PETER MSIGWA NI MCHUNGAJI,,

WANAKUJA KUHUBIRI DEMOKRASIA AU NENO LA MUNGU??

AU NDIO MAAGIZO TOKA HUKO UJERUMANI C.D.U???
 
Pia Ni vizuri Nafasi ya M/Mwenyekiti apewe Mchungaji Natse na tukabadilisha Slogani ya Chama baada ya People power iwe "HALELUYAA" AMEEEN

Hahaha kachukue buk 7: Usitupangie safu yetu... CDM imeletwa kwa mipango ya Mungu! Sisi tunaaminiana tukinunua vitu no risiti no what kwa sababu tunamwamini Mungu. pepoz powa
 
Hahaha kachukue buk 7: Usitupangie safu yetu... CDM imeletwa kwa mipango ya Mungu! Sisi tunaaminiana tukinunua vitu no risiti no what kwa sababu tunamwamini Mungu. pepoz powa

Ni kweli Mkuu CDM hata viongozi wake wanapangwa na Mungu
M/Mwenyekiti : Mchungaji Natse
Katibu Mkuu: Padri Slaa
Naibu Katibu Mkuu: Mchungaji Msigwa

HALELUYAAA...
 
kweli la kuvunda halina ubani wakuu chadema imevunda sasa hata wakiweka ubani lazima ivunde tu.

Huo ni mtizamo wako,inawezekana umevunda wewe,hatuwezi kukaa kwenye chama na watu wanataka kuondoa uongozi kwa fedha unazopewa ccm
 
Mchungaji peter msigwa apewa nafasi ya unaibu katibu mkuu na mbowe, piya mchungaji na mbunge wa karatu apewa umakamu mwenyekiti wa chadema, jee kuna siri yoyote eliyojificha kwenye huu uteuzi au imetokea tu nafasi zilikuwa zinashikiliwa na waislam kwenda kwa wachungaji? Au ni mkakati maalum wa chadema kuwandoa waislam ndani ya uongozi wa juu?? Hizi siasa za ukanda zimekiumiza chama sana jee hili la udini litakiua kabisa hichi chama chetu cha kasikazini, mbowe tumia japo akili kidogo kuangalia huu udini na ukanda unaondekeza eli ubaki madarakani.
 
katibu mkuu mtendaji WILBROAD SLAA NI PADRE,

naibu katibu mkuu mtendaji PETER MSIGWA NI MCHUNGAJI,,

WANAKUJA KUHUBIRI DEMOKRASIA AU NENO LA MUNGU??

AU NDIO MAAGIZO TOKA HUKO UJERUMANI C.D.U???

wewe mdini #1jf . Ulitaka ustaadhi kipozeo wa neema za allah ndio achukue hio nafasi. Au shehe ponda
 
CHADEMA hapo mmethubutu! hongereni mno mno kwani huyu jamaa alikuwa ni NYOKA na Ndumi la Kuwili na timueni wooote wasaliti!
Niliwahi kusema kuwa Zito hafai hata kidogo kwani ni mtu wa maslahi binafsi kuliko chama na sasa yametimia!:frusty:
 
Msigwa hamna kitu kabisa!!alidai ana ushahidi wa kutosha kuhusu Meno ya Tembo na Kinana,Mahakamani anadai anakinga asishtakiwe,CDM WALAGHAI SANA.
 
MODS hebu ondoa hii. Mnajivunjia heshima katika JF. Habari hii siyo kweli, lau sivyo liwekeni hapa tangazo rasmi la CDM kuhusu hii.
 
Msigwa hamna kitu kabisa!!alidai ana ushahidi wa kutosha kuhusu Meno ya Tembo na Kinana,Mahakamani anadai anakinga asishtakiwe,CDM WALAGHAI SANA.

Acha hizo Msigwa Jembeeee
 
MODS hebu ondoa hii. Mnajivunjia heshima katika JF. Habari hii siyo kweli, lau sivyo liwekeni hapa tangazo rasmi la CDM kuhusu hii.

Wajiaibishe mara mbili? Wamejiabisha kuachilia tu ile thread ya baregu kwamba kajiuzulu!
 
Kwetu CDM ilimu hizi za kaisari sio lazima sana ndio maana M/Kiti, Katibu na Naibu katibu mkuu, Katibu Mwenezi hakuna mwenye degree za Kaisari!!!!
Na mgombea wetu mwenza alikuwa darasa la 7 kuonyesha tunawakilisha kundi kubwa la wasiosoma.... chama chetu makini sana.
 
katibu mkuu mtendaji WILBROAD SLAA NI PADRE,

naibu katibu mkuu mtendaji PETER MSIGWA NI MCHUNGAJI,,

WANAKUJA KUHUBIRI DEMOKRASIA AU NENO LA MUNGU??

AU NDIO MAAGIZO TOKA HUKO UJERUMANI C.D.U???
Mbona na wewe unaingia kwenye tope kama hili? Aliyesema Msigwa ka teuliwa ni nani? Au labda ka teuliwa na Jf ?
 
Back
Top Bottom