jistiri kwa kutokuchangia usicho na elimu nacho kama hujui nyamaze tu ndugu yangu unajishusha hadhi ya utu wakoKama mfano muwamala mmoja means kutoa pesa kwenye ATM unatozwa 1,000 zamani zote zilienda bank kwa sasa 152.5 itaenda TRA Kama VAT na iliyobaki 847.5 itaenda mfuko wa benki husika na inapatikanaje?
1,000 = 118 per cent
? = 18 per cent ya VAT.
Kwa hiyo 1,000 x 18 / 118 = 152.5
1,000 - 152.5 = 847.5
Wati wengine sijui wanakula maharage ya wapikama umegoogle hujapata basi mwache mkuu afanye kazi... au kama unaweza kuanza kushare yako tutashukuru sana mleta hoja
Jaribu Yahoo.nimegoogle cjapata.
Kwikwikwikwiiii.... wati???Wati wengine sijui wanakula maharage ya wapi
Afu baadae iweje? Tunapoteza muda tunataka yake , tunahitaji mtu aliyebobea katika hii sekta ukizingatia serikali inahitaji kodi nyingi than ever
Teh teh teh ; inakuja hujuma kama ya sukari! Mabenki kuficha miamala! Unafanya mwamala af hupewi salio huku umekatwa zaidiNaona wakwepa kodi mnataka kuleta figisu
Mkuu
Mwache afanye kazi... nobody is perfect
Weka yako inayo compete yake wakupigie debe ukasaidie kuokoa jahazi TRA
mkuu ccm wanafanya kazi kwa matakwa ya walio wateua na sio welediSiamini kwamba Kidata alikua hajui kuhusu VAT. Anajua! Haihitaji uelewa mkubwa kodi kujua!
Tatizo ni kutaka kumfurahisha bwana mkubwa!
Ni kama serikali ilitaka mabenki na taasisi za kifedha zitangaze ongezeko bila kusema umesababishwa na kodi ya VAT! Labda walitaka itamkwe 'kutokana na kupanda gharama za uendeshaji..........'
Angalia hata phd za Mwakyembe na Tulia zilivyoshindwa kuwapa uelewa wa maneno magumu kama 'separation of power'
and what is your point exactly?Ni kweli mtu yeyote hawezi kujua kila kitu hata inayohusu taaluma yake. Ndiyo maana tuna consultants. Hata hizi kodi hazijaanzia TRA kwani kuna private tax consultants wana ushauri wao humo.
Mtu tunayemkabidhi fedha zetu hutaki tujue cv yake kweli !!!? Fikiri kwa mapana mkuu.Hakuna haja. Atakuwa ni Mhasibu. Maswi aliingia haraka haraka Wahasibu eakamtema. Unaitakia nini CV yake.